Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

Kama una mpango wa kuvuta Probox jitahidi iwe Succeed, ni gari yenye muundo ule ule, mfanano ule ule, lakini version tofauti. Succeed ni bora zaidi kiujumla ikiwa utailingasha na Probox
Dar Pro Box mpya bei gani,napata mgawo wa mamilioni hivi karibuni
 
Probox nzuri sana kwa fuel consumption, ukiichoka pia huchelewi kupata mteja na haishuki saaana bei.....ila kuiendesha kiukweli hiajakaa kiluxury.....
Kwa sisi tulio na miaka zaidi ya arobaini inatufaa sana maana Mambo ya luxury tumewaachia watoto wetu
 
Voltz.
images.jpeg
 
Nakushauri kwa kuzingatia jinsia;

Kama wewe ni mwanaume, chukua Voltz

Kama ni mwanamke, chukua Ractis, jitahidi iwe CC 1490

Kuagiza Japan au kununua ya mkononi, nichek 0719972458
Voltz inatumia mafuta kiasi gani? Kilometres/litre

Bei yake kiasi gani?
 
Probox nzuri sana kwa fuel consumption, ukiichoka pia huchelewi kupata mteja na haishuki saaana bei.....ila kuiendesha kiukweli hiajakaa kiluxury.....
Anahangaika tu achukue SPACIO new model atakuja kunishukuru
 
Hahahaaaaa hapo ulipo huna gari wala pikipiki hata baiskeli huna ila ulicho nacho unajua kuponda sana.
Dah mkuu unanijua balaa. Ila gari yangu ya kwanza BMW 3 series tena miaka kumi nyuma. Ya pili legacy b4 ila kwa sasa kweli sina gari mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom