Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

Jamani
Hunionei hata aibu? πŸ˜‚ πŸ˜‚

Unaniambia kabisa 🀣🀣🀣 ila poa tu.
Kwani kuna jipya chini ya dunia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mbona tukienda kula tunasema au tukimaliza tunasema pia..

alafu unajua kufanya nini sasa😎
 
Depal ilikuwa inafinyiwa kwa ndani yaani πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Voltz ina sura nzuri, naipendea hicho tu vingine hata sijui
Kuna rafiki angu mdada alikua anataka computer akaniambia nimnunulie

nikawa namuuliza anataka ya sifa gani? alichonijibu yeye anataka "pink laptop"

kama isipokua pink anataka iwe grey na iwe brand Samsung,hataki sifa zingine

wala hana muda na sifa zingine kakomaa na rangi "pink or grey" brand iwe "samsung" Kamaliza.
 
Naomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani
 
No brother.
Probox Ina undugu wa karibu kabisa na Toyota succeed.
Just Google it.
It is cheap, cheap to maintain, lasts long and it is a workhorse.
Haujamuelewa alivyosema "lite" kaka
 
Naomba kujua gharama za kuagiza toyota voltz kutoka nje hadi linaingia barabarani
Ni kati ya 14.5mil hadi 15mil

Inategemea pia na , mileages, mwaka , condition na kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…