Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Mmmmh...😔😔😔

Habari wakuu..?

Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo.

Mimi kama mimi, naikubali sana premio model ya kuanzia 2004 had 2006 ambayo imezoeleka kama premio new model, mapenz yangu kwa IST ni madogo mnoo ukilinganisha na premio...

Kwahyo nikawa nimepanga kuchukua premio kwa ajil ya mama angu, lakin baadhi ya watu wakasema kwa mama mtu mzima premio haitomfaa sana kimuonekano na tena hta kwenye mafuta premio itakunywa sana kuliko IST. Kauli hiz zimenibakisha na maswali mengi sana kichwan had nashindwa kuelewa...
Hivi ni kwel premio yenye 1498cc inakunywa sana kuliko Ist ya 1498cc?

Lakin pia naomba nipate ushaur kutoka kwenu, ipi ni gar ambayo itamfaa mama kwa shughuli za kwenda kutembelea ndugu na jamaa?

Naomba nipate mawazo kutoka kwenu.
Asanteni.
 
Ist is better for many things.
 
Yaani nimekumbuka lile swali la Zamani la kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito.

CC 1498 na CC 1498 ipi inakunywa Sana mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaweza kuwa na cc sawa lakini kila moja ikawa na vitu vingi kuliko nyingine ambavyo vinapelekea kutofautiana ktk oil consumption mfano ac na electronic device za ndani.
 
Ushauri wangu mchulie IST au gari yoyote ambayo ni hatchback, wamama ni watu wa kubeba beba sana vimizigo, hasa kupita pita sokoni na magengeni.
 
Back
Top Bottom