Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Mmmmh...πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

 
Ist is better for many things.
 
Yaani nimekumbuka lile swali la Zamani la kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito.

CC 1498 na CC 1498 ipi inakunywa Sana mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaweza kuwa na cc sawa lakini kila moja ikawa na vitu vingi kuliko nyingine ambavyo vinapelekea kutofautiana ktk oil consumption mfano ac na electronic device za ndani.
 
Ushauri wangu mchulie IST au gari yoyote ambayo ni hatchback, wamama ni watu wa kubeba beba sana vimizigo, hasa kupita pita sokoni na magengeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…