Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Living room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.Habari zenu wadau wa ujenzi.
Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani?
Asanteni!!!!View attachment 2414848
Napunguza gharama, sebule mbili haina sababu. Nataka maoni ya arrangements suala la vipimo si lazima sana.Living room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.
Nadhani entrance ingekutana na living room sio choo na pia au hiyo public toilet ingekaa eneo la store na pia kama umeamua rooms ziwe juu then sebule ishuke chini ili wageni washuke chini, utahitaji utulivu juu.
Dimensions unaipata kwa kufanya reference ya size kitanda au hizo samani humo ndaniLiving room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.
1.Hakuna mshale wa kuonesha kaskaziniHabari zenu wadau wa ujenzi.
Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani?
Asanteni!
View attachment 2414848