Naomba ushauri ili nifanye maboresho ya ramani hii

Naomba ushauri ili nifanye maboresho ya ramani hii

Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2,736
Reaction score
3,644
Habari zenu wadau wa ujenzi.

Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani?

Asanteni!

IMG-20221112-WA0018.jpg
 
Living room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.
Napunguza gharama, sebule mbili haina sababu. Nataka maoni ya arrangements suala la vipimo si lazima sana.
 
Nadhani entrance ingekutana na living room sio choo na pia au hiyo public toilet ingekaa eneo la store na pia kama umeamua rooms ziwe juu then sebule ishuke chini ili wageni washuke chini, utahitaji utulivu juu.
 
Asante sana kwa maoni.
 
D
Living room ya ground floor iko wapi? Tafuta Romani ingine yenye nafasi au weka dimensions tuone labda ni kubwa.
Dimensions unaipata kwa kufanya reference ya size kitanda au hizo samani humo ndani
 
Habari zenu wadau wa ujenzi.

Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani?

Asanteni!

View attachment 2414848
1.Hakuna mshale wa kuonesha kaskazini
2.Matumizi mabaya ya nafasi
3.Vyumba vidogo.
4.Vyoo vikubwa
5.Mjiko wote huo,hiyo stoo ya nini sasa.
6.Haujaweka nguzo hata moja
7.Kutoka entrance mpaka ngazi,umbali ni mrefu.
8.Kuingiliana kwa Lobby,sebure na corridor
 
Back
Top Bottom