Naomba ushauri ili tuiadhibu TANESCO

Naomba ushauri ili tuiadhibu TANESCO

hamrash

Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
28
Reaction score
2
Ndugu wana JF, salamu.

Naomba msaada wa ushauri ili tuiadhibu TANESCO. Tokea alhamisi tarehe 2- 4- 2015 hatuna huduma ya umeme nyumbani. Tuliwapigia simu zaidi ya mara 10 ili kuwapa taarifa ya hitilafu ya umeme kwenye nguzo yao hapa nyumbani lakini mpaka leo tarehe 6- 4- 2015 hawajaja kurekebisha.

Bado hawajaja kurekebisha. Tumepata hasara ya vyakula tulivyonunua kwa ajili ya sikukuu ya pasaka. Pia tumeshindwa kufurahia sikukuu tukiwa nyumbani na familia zetu kwa ukosefu wa umeme. Tunaomba ushauri ili tuihadhibu TANESCO ili wajue kwamba mteja ni mfalme.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom