Naomba ushauri jamani

tajirihandsom

New Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Mimi ni mtoto kipenzi katika familia yangu baba na mama wananipenda sana na hilo nalijuwa lakin kuna kitu cha ziada kinanisumbuwa sana kutokana nimejaaliwa uwezo kipesa na familia iko vema sana kipesa na nimashuhur sana hapa mjini lakin sioni thamani ya yote haya ikiwa mimi ni shoga japo sijulikani hata wazazi hawajuw wala hawajawahi kuhisi hata sku1 lakin unakuta napenda mvulana nagharamika kumnunulia gari makaz mazur kusafir nae nk;

Mwisho wa siku naumizwa sana najiuliza why nipo hivi nimeangaika sana kwa wanasaikologia mashughur USA, Canada, China nk but steel nipo hivi tu kama dem nikiwa na mume wangu naona raha sana kama dem ila najiuliza mwisho wake nini ukiangalia kila sku wazur wapo japo mimi sina katabia kakubadili wanaume maana sifanyii ziki ila naumia tu na ili swala mama na baba akijuwa itakuaje naomba hata kama kuna waganga wa kienyeji wanaweza mnisaidie maana imefakia hatua hata akija boy mzur ofcn mie ndio nakua kama mfanyakaz kwa kumnyenyekea kisha najistukia naaacha

naomba ushaur wenu pls
 
Nimeangalia thread yako, ina makosa mno. Haina nukta wala mkato ila sio kosa lako ni kosa la wazazi wako, wana hela ila hawajakupa elimu.
Halafu huku sio vijiwe vyenu vya FB vya kutuletea uongo usio na kichwa wala miguu
 
Nishakujua wewe [emoji3][emoji3]
 
Duh umenisikitisha sana mkuu. Kuna mtu aliwahi kuniambia kuna dawa ilikuwa mwaka 2011 ila inataka moyo maana hiyo dawa yenyewe sio mchezo.
 

Nicheki
 
Aya mnaopenda mapunga mfaten mkachezee kichuguu cha nyuki
 
Nimeangalia thread yako, ina makosa mno. Haina nukta wala mkato ila sio kosa lako ni kosa la wazazi wako, wana hela ila hawajakupa elimu.
Halafu huku sio vijiwe vyenu vya FB vya kutuletea uongo usio na kichwa wala miguu
Wewe unataka mwenzako atangaze kuwa anajiua ndo utaamini, Kuna mtu aliwahi kuandika kama hivi hivi watu wakampuuza na baadhi ya watu waliokuwa wanajuwa jamaa yuko serious walimfuata mpaka guest house aliyokuwa amekaa ili kutekeleza adhama yake ya kujiua
 
Ajiue kwa ajili ya comment za humu??? Chaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…