tajirihandsom
New Member
- Sep 5, 2016
- 4
- 0
Mimi ni mtoto kipenzi katika familia yangu baba na mama wananipenda sana na hilo nalijuwa lakin kuna kitu cha ziada kinanisumbuwa sana kutokana nimejaaliwa uwezo kipesa na familia iko vema sana kipesa na nimashuhur sana hapa mjini lakin sioni thamani ya yote haya ikiwa mimi ni shoga japo sijulikani hata wazazi hawajuw wala hawajawahi kuhisi hata sku1 lakin unakuta napenda mvulana nagharamika kumnunulia gari makaz mazur kusafir nae nk;
Mwisho wa siku naumizwa sana najiuliza why nipo hivi nimeangaika sana kwa wanasaikologia mashughur USA, Canada, China nk but steel nipo hivi tu kama dem nikiwa na mume wangu naona raha sana kama dem ila najiuliza mwisho wake nini ukiangalia kila sku wazur wapo japo mimi sina katabia kakubadili wanaume maana sifanyii ziki ila naumia tu na ili swala mama na baba akijuwa itakuaje naomba hata kama kuna waganga wa kienyeji wanaweza mnisaidie maana imefakia hatua hata akija boy mzur ofcn mie ndio nakua kama mfanyakaz kwa kumnyenyekea kisha najistukia naaacha
naomba ushaur wenu pls