Suala la gharama unalizingatia au unazingatia ubora wa matibabu tu?Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu na vifaa.
Yaani ni nchi gani bora kitabibu kati ya hizo?
Naomba mnishauri wakuu.
nenda ile hospital ya india aliyoenda mheshimiwa wa mjengoni, inasemekana alitoa gharama dollar $ milioni 10Nazingatia ubora wa matibabu tu
ubeligiji kaa lisuWakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu na vifaa.
Yaani ni nchi gani bora kitabibu kati ya hizo?
Naomba mnishauri wakuu.