Naomba Ushauri. Je nitibiwe wapi Kati ya India na Uturuki?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu na vifaa.
Yaani ni nchi gani bora kitabibu kati ya hizo?
Naomba mnishauri wakuu.
 
Suala la gharama unalizingatia au unazingatia ubora wa matibabu tu?
 
Ungelisema unachosumbuliwa pengine ulingelifumbuliwa mambo kadhaa na kuhifadhi gharama.
 
Wakuu naombeni ushauri wenu. Ninahitaji kwenda kutibiwa nje ya nchi. Je kati ya nchi hizi Mbili India na Uturuki ni wapi mnanishauri niende kutibiwa? Nauliza kwa misingi ya technologia ya matibabu na vifaa.
Yaani ni nchi gani bora kitabibu kati ya hizo?
Naomba mnishauri wakuu.
ubeligiji kaa lisu
 
Back
Top Bottom