Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu.
Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za walimu, na mabweni. Sasa wakuu, ni namna gani tunaweza kupata ufadhili?
Nashukuru kwa ushauri mtakaonipa.
Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za walimu, na mabweni. Sasa wakuu, ni namna gani tunaweza kupata ufadhili?
Nashukuru kwa ushauri mtakaonipa.