Owky mkuu anza kwanza na kuandaa project ya shule kiujumla( vision, mission zenu, your motives zilizofanya mkawaza kuandaa school, your targets kwa miaka mfano target za miaka 5 ziwepo na miaka 20 ziwepo wanaita short term and long term goals) pia kibali cha shule (zile legal proceedings zq kufungua shule mzihifadhi vizuri) and when you are ready nitakutumia jina la huyo madam kwenye instagram umuombe meeting though ndo yupo iringa huku ukiwa unatafuta na wafadhili wengine hapo Arusha......Shukrani sana kwa ushauri wako, sisi tupo Arusha na shule pia ipo Arusha,
Shule ni primary English medium
Owky mkuu anza kwanza na kuandaa project ya shule kiujumla( vision, mission zenu, your motives zilizofanya mkawaza kuandaa school, your targets kwa miaka mfano target za miaka 5 ziwepo na miaka 20 ziwepo wanaita short term and long term goals) pia kibali cha shule (zile legal proceedings zq kufungua shule mzihifadhi vizuri) and when you are ready nitakutumia jina la huyo madam kwenye instagram umuombe meeting though ndo yupo iringa huku ukiwa unatafuta na wafadhili wengine hapo Arusha......
Taratibu mtafika now mjitoe sana kuandaa project kama hauwezi andaa jifunze google just google (how to write school projects) zitakuja..... Mungu akijalia uzima nitaconduct Montessori training kwa watoto wadogo wale two years to five years for free kwa walimu wenu watakaokuwepo na ntakutumia materials za Montessori school kwaajili ya kindergarten one and two.....maana ndio nnachojua kidogo kuanzia primary mtaala niliokuwaga natumia ni Cambridge tu so sijui mtaala wa hapa nyumbani unaelekezaje.... Ila kwa wale 2 to 5 years naweza conduct course vzuri sana ili nyie mdeal na kuanzia class 1 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ulimwengu wa sasa, ukiweza kuandika kitu katika formal project proposal, ni rahisi zaidi kupata msaada.Ni sawa ndo tupo kwenye Mchakato huo,
Vip mawazo, maoni ushauri toka kwako?
Hakika Mr. Kiranga unayoyasema ni masuala muhimu na bora kuyazingatia.Kwa ulimwengu wa sasa, ukiweza kuandika kitu katika formal project proposal, ni rahisi zaidi kupata msaada.
Ndiyo maana nikapendekeza kuanzia hapo kwanza.
Vinginevyo naweza kwenda kwa mtu nikamuhadithia habari, akaniuliza, kuna website? Nikamwambia hakuna, akauliza kuna formal project proposal? Nikamambia hakuna.
Ataniangaliaaa, ataona nacheza tu.
Kuna watu nakutana nao kwenye lift muda wa kuongea nao ni dakika moja au mbili tu, lakini mtu kama huyo ukiweza kumpa "pitch" nzuri, halafu ukampa bahasha yenye proposal au ukamtumia email yenye project documents unaweza kufanya makubwa.
Asante kwa ushauri wakoKwa ulimwengu wa sasa, ukiweza kuandika kitu katika formal project proposal, ni rahisi zaidi kupata msaada.
Ndiyo maana nikapendekeza kuanzia hapo kwanza.
Vinginevyo naweza kwenda kwa mtu nikamuhadithia habari, akaniuliza, kuna website? Nikamwambia hakuna, akauliza kuna formal project proposal? Nikamambia hakuna.
Ataniangaliaaa, ataona nacheza tu.
Kuna watu nakutana nao kwenye lift muda wa kuongea nao ni dakika moja au mbili tu, lakini mtu kama huyo ukiweza kumpa "pitch" nzuri, halafu ukampa bahasha yenye proposal au ukamtumia email yenye project documents unaweza kufanya makubwa.
MrejeshoAsante kwa ushauri wako
Tupeni hao wazamini boss.Owky mkuu anza kwanza na kuandaa project ya shule kiujumla( vision, mission zenu, your motives zilizofanya mkawaza kuandaa school, your targets kwa miaka mfano target za miaka 5 ziwepo na miaka 20 ziwepo wanaita short term and long term goals) pia kibali cha shule (zile legal proceedings zq kufungua shule mzihifadhi vizuri) and when you are ready nitakutumia jina la huyo madam kwenye instagram umuombe meeting though ndo yupo iringa huku ukiwa unatafuta na wafadhili wengine hapo Arusha......
Taratibu mtafika now mjitoe sana kuandaa project kama hauwezi andaa jifunze google just google (how to write school projects) zitakuja..... Mungu akijalia uzima nitaconduct Montessori training kwa watoto wadogo wale two years to five years for free kwa walimu wenu watakaokuwepo na ntakutumia materials za Montessori school kwaajili ya kindergarten one and two.....maana ndio nnachojua kidogo kuanzia primary mtaala niliokuwaga natumia ni Cambridge tu so sijui mtaala wa hapa nyumbani unaelekezaje.... Ila kwa wale 2 to 5 years naweza conduct course vzuri sana ili nyie mdeal na kuanzia class 1 na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
VIPI SHULE YAKO INAENDELEAJE?ULIPATA WAFADHILI TAYARI NA YULE MAMA WA IRINGA ULIMCHECK TUPE MREJESHOWakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu.
Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za walimu, na mabweni. Sasa wakuu, ni namna gani tunaweza kupata ufadhili?
Nashukuru kwa ushauri mtakaonipa.