Naomba ushauri jinsi ya kutunza miguu

Depretty

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
248
Reaction score
99
Habari jamani mimi ni mweusi lakin sio weusi ule uliofifia sana niseme kama maji ya kunde lakini tatzo miguuni ni mweusi sana yaani kuanzia kwenye kiwiko cha mguu kwenda chini

Situmii cream ya aina yoyote mafuta nayopaka ni vaseline pia napendelea kuvaa sana suruali na hata kama nguo ingine basi ni ndefu,viatu napendelea sana sandalz nifanye vip ili niwe na rangi sawa maana mtu ukiiona unaweza sema najichubua lakini ndo ipo ivyo naitaji ushauri wenu/njia ya kutunza miguu
Ahsante!
 
Weusi unatokana na jua.

Punguza kuvaa open shoes.

Pia pendelea kupaka lotions zenye SPF kulingana na ngozi yako.
 
utasaidiwa hapa sibiri
 
Pendelea kuvaa raba na soksi muda mrefu kwa siku utaona miguu inavyosafika[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


Weka picha...
 
Punguza viatu vya wazi na vya kubana,Baada ya kuoga jioni paka lotion kama una massage hivi afu lala na socks
Af yale mambo ya kushinda nyumbani unajimwagia maji wee unaoga jioni sio,massage na lotion asbh na jioni...keep feet dry
Kunywa maji mengi kama Ray lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…