Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka lotion acha kupaka mafuta ya mgandoHabari jamani mimi ni mweusi lakin sio weusi ule uliofifia sana niseme kama maji ya kunde lakini tatzo miguuni ni mweusi sana yaani kuanzia kwenye kiwiko cha mguu kwenda chini
Situmii cream ya aina yoyote mafuta nayopaka ni vaseline pia napendelea kuvaa sana suruali na hata kama nguo ingine basi ni ndefu,viatu napendelea sana sandalz nifanye vip ili niwe na rangi sawa maana mtu ukiiona unaweza sema najichubua lakini ndo ipo ivyo naitaji ushauri wenu/njia ya kutunza miguu
Ahsante!