Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Shukrani.Ya kawaida andaa 2M.. Ya kisasa zaidi 5M+
Jr[emoji769]
Ya 2M ina viti vya kawaida visivyozidi vinne... Inakuwa na feni tu na haina zile huduma za ziadaShukrani.
Hapo hapo ningependa nijue tofauti ipo wapi kwenye hizo za 5M na 2M.
Yani vitu gani vinaongezeka au vinapungua kati ya hizo mbili.
Hizi zetu huku mtaaniUnaongelea ipi classic kunyoa buku 2-10
Au hizi za mitaani kunyoa buku jero hadi buku????
Imekaa poa piaKama ni hizi za kitaa uswazi standard
1mil had 1.3mil ful mpaka kodi miezi 6
Ila zile classic kiti tu cha kunyolea laki4
Imekaa poa pia
Uzuri kijana ni wangu. Akinizingua kwenye hesabu, ndio anakua kajiharibia mwenyewe. Mimi napiga chini tu!Nilifunguaga saluni yangu baada ya kumaliza kitabu nikawa napiga mwenyew likizo nilipoendelea nikaweka mtu ndo akaniharibia biashara anakuja kalewa hesabu hatoi nikafunga vtu vpo home natuliza akili nitafute location na kijana
God bless kama umeamua fanya hvyo
Baada ya hapo gharama hakuna zaid ya kodi,umeme na viwembe
Hesabu ni sh.ngapi kwa siku?Nilifunguaga saluni yangu baada ya kumaliza kitabu nikawa napiga mwenyew likizo nilipoendelea nikaweka mtu ndo akaniharibia biashara anakuja kalewa hesabu hatoi nikafunga vtu vpo home natuliza akili nitafute location na kijana
God bless kama umeamua fanya hvyo
Baada ya hapo gharama hakuna zaid ya kodi,umeme na viwembe
Duh kumbe vijana wanasumbua sana.Barbershop nzuri kwenye location inayolipa haitapungua 10,000,000. Narudia tena kwenye location inayolipa, lakini kama ni location yoyote tu hapo gharama zinapungua sana.
Barbershop za siku hizi zinahitaji space ya kutosha, hivyo Kodi inaweza kuchukua kiasi kikubwa kama hutafanya utafiti wa kutosha.
Changamoto kubwa kwa barbershop ni yule unayempa jukumu la kusimamia, hutapata pesa kwa wakati, it's annoying ilà ndio hivyo vijana wengi hawana focus. Ndio maana nataka niuze niliyonayo.
Biashara ya Salon ni nzuri sana ukisimama mwenyewe, nimewahi ifanya hii biashara nikamkabidhi jamaa ofisi. Mwezi mmoja wa kwanza kila kitu kilienda sawa, baada ya hapo mapicha picha yakaanza. Mara leo wateja hakuna, mara wenzangu wamegoma kulipa hela ya umeme, daily sababu zikawa hazikosi. Nikaona isiwe shida nikamtimulia mbali nakuuza vifaa vyangu.Duh kumbe vijana wanasumbua sana.