255ChampionBoy
New Member
- Dec 28, 2020
- 4
- 4
Mchongo sio kuua biashara ni kutengeneza formula nzuri so kila atayesumbua biashara utaiua sio?Biashara ya Salon ni nzuri sana ukisimama mwenyewe, nimewahi ifanya hii biashara nikamkabidhi jamaa ofisi. Mwezi mmoja wa kwanza kila kitu kilienda sawa, baada ya hapo mapicha picha yakaanza. Mara leo wateja hakuna, mara wenzangu wamegoma kulipa hela ya umeme, daily sababu zikawa hazikosi. Nikaona isiwe shida nikamtimulia mbali nakuuza vifaa vyangu.