Naomba ushauri juu ya biashara ya barber shop

Mchongo sio kuua biashara ni kutengeneza formula nzuri so kila atayesumbua biashara utaiua sio?
 
biashara ya saluni ni PA$UA KICHWA,
kama hautaisimamia mwenyewe. usipokuwepo eneo la kazi hapo,
jua na lako halipo.
 
Uhakikishe unafunga na cctv camera kuepusha udanganyifu wa mtu utakae mkabidhi akupe hesabu za kila siku, bila hivyo utalia kilio cha mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…