Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

Masengenyo ya Shemeji yamekuchosha eeh. Ningekua wewe ni mimi ningeenda physically ofisini kwao. Badala ya kuuliza mitandaoni
Point. Vijana unakuta yupo sebuleni hapo anauliza wakti angeweza kudamka akawahi ofisin kwa kampuni tajwa akapata maelezo na akafanya observation ya biashara. Mtembea bure sio mkaa bure. Mbona mkienda BSS hamuulizi mitandaoni?
 
Mkuu ilkuwa unaendesha gari aina gani, je lilikuwa la kutoka showroom/japan au kununua kwa mtu ?
Hata Mimi nimeshangaa service gani iyo ya 1.2m? Na anasema service ya oil alikua anazingatia?
Inamaana Shock up, bushes ,ball joints n.k ndo zikafika 1.2?? Jamani sie wote watu wazima sio poa kuongopeana [emoji849][emoji849]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama umewahi kumiliki gari 1.2m TZS si kitu cha kushangaa ndugu. Gari sio kumwaga oil tu.
 
Basi usikatishe watu tamaa kwa maneno ya kusikia....hiyo ishu ingekuwa hailipi watu wasingeagiza magari kwa ajili ya kufanyia uber, kama upo serious unaweza mpaka kujenga kwa uber.
Upo sahihi kabisa,mi hua naamini sio Kila kazi mtu yoyote anaweza fanya.Iyo biashara nliwahi ongea na dereva wa Uber anasema inalipa Ila changamoto yake ni ukiwa mtu wa mademu huwezi pata chochote Ina Vishawishi Sana maana wateja wake asilimia kubwa ni wanawake. So akili kichwani.[emoji1][emoji1]
 
Tunazidi kuielewa... sante
 
Mimi kwa upande wangu niliwahi kuendesha Uber kwa miezi 6 kila ikifika 3,000kms naenda service baada ya miezi 6 nikaenda service, spare na kila kitu nikaletewa invoice 1.2m Hapo ndo niliaga mashindano maana faida yote ililipa gharama za kutengeneza gari

Rating za abiria wa Uber nao pasua kichwa.
IST 1ltr ikiwa mpya kama hyo unayoagiza ww.. itasukuma mpka 15Km… na kama njin kwny Jum.. bhass ikishuka ni 12 Km.. na uber 12Km X 450 = 5400tsh apo una lita mbili.. na sijajumuisha muda utakaotumia.. maana UBER unalipwa interms of Time and Distance..

Kreti la soda moja linauzwa 10,000/- na linakuwa lina soda 24 ambazo bei elekezi ni 500 sasa 500X24 ni 12,000 yan faida ni buku mbili tuu.. sawa na soda nne.. apo hujatoa umeme ambao ni lazima.. na hujatoa pesa ya kodi..

Gunia la mchele la kilo 100 linauzwa 140,000 ambayo ww ukianza uza kwa kilo.., utauza 1,800 ambapo apo utatengeneza faida ya 400 kwa kila kilo.. na mwisho wa siku utakuwa na faida ya 40,000/- lakn je utauza kwa siku moja kilo 100 ili uione hyo faida..!? Na hapo hujatoa matumizi ya kila siku..

Tuje kwny kilimo.. ufuta kama ufuta.. ghalama za kuanzia kutnengeneza shamba mpka unavuna heka moja ni laki nane.. [talking through experience] uzuli wake ni kwamba unaiuzia serikali.. na heka moja ukiilima vzuri inatoa wastan wa kilo 1200. Apo ukiiuzia serikali.. mteja mkuu ni kwamba utauza kilo moja 1,400/- kwhyo utakuwa na 1,680,000/- ukitoa gharama zako unapata faida ya 880,000 ni pesa nzuri ila kumbuka kuwa hili zao unavuna baada ya miezi mitatu tuuu… yap ni miez michache.. but unalima kwa mwaka mara moja.. so gawanya kwa 12… unapata 73,333/- kwhyo kila mwez unakuwa umetengeneza hyo pesa.. 😂😂😂

Kwann nimekueleza hayo yote.. simply ni kwasasabu ya kukuonyesha kuwa biashara ndivyo ilivyo.. hutakiwi kuwaza kutengeneza alot of money kwa muda mchache.. huyo anayekwambia hvyo utashangaa ukimuuliza vzuri atakwambia madeleva tax mbona wanalipwa pesa nying.. ndio hatujakataaa wao wanalipwa pesa nying lakn je kwa siku anapakia wateja wangap..!? Na siku nyingine huwa hawapakii kabisaaaaa… hv unajua daladala kutoka mbezi mpka mbagala anatengeneza pesa ngap..!? Na je uber mbezi mpka mbagala ni pesa ngap..!?

Ngoja nijibu hoja za jamaa sasa
😎😎

01. UBER na BOLT inakupa option ya kumpgia mteja.. na through communication utajua mteja yupo wap na anaelekea wap plus altitude yake.. ukiona hamuwezan kuna option ya kucancel.. au unamuacha acancel yey.. ww unamwambia tu.. “sikufuati”

02. Ndio kuna maeneo ukimpeleka mteja unarudi kapa.. lakn kupitia uzoefu wangu.. naomba niyataje maeone.. na tena mengi ni yale yaliyopo nje ya mti.. mfano.. bunju B.., Mbagala mpka chamanzi.., kigamboni.., Chanika.. sasa iko hv .. ukishaona abilia anaelekea huko.. unaweza mbeba au ukampotezea.. lakn.. narudia tena lakni.. ukimpakia wa bunju B ukimshusha.. huwez toka Bunju mpka Nyuki bila ya kipata abiria.. chanika sikushauli maana unaweza toka chanika mpka airport ukala bila bila.. mbagala toka sogea uhamiaji huwez kosa kichwa.. na vile vile sisi madereva tunatofautiana.. kuna wanaopenda trip ndefu na kuna sie wa posta kkoo tu.. kwhyo option ni yako.. kwnda au usiende.. na kuna wateja wngine waelewa ukiwaambia kistaarabu kuwa huko ntataabika.. wanakulipa double..

03. Muulize huyo dereva kama kisha wah endesha mkoa mwngne tofaut na Dar.. ndio atajua njia mbofu zipoje..😂😂 aache dharau.. Dar tumependelewa mnoooo… na kama njia sio rafiki ni communication kati ya dereva na Abiria.. unamwambia.. nakushisha apa chukua boda.. kama njia ni mbofu ina dimbwi au niyautelezi huwa wanaelewa.. tena wengne wanakwambia kabisa.. “nishushe hapa.. huko utaumiza gari”

04. Nakubali kabisa.. wateja hawawez tumia App.. ni kwl na ni changamoto kubwa.. ila ndio hvyo.. hata sisi madereva weng huwa hawajui kutumia app.. ndio maana kuna option ya kumpgia.. mm nilisha sema tofauti na masaki na Upanga.. kwngne kote.. kabla sijaanza safari ni lazma nipige simu..

05. Madereva wengi wamekuwa wakitupa magari mitalon kwa sababu ya usingizi.. mm pia nishawah pata ajali kwasababu ya usingizi.. driving fatigue its a disease my brother… niamin mm.. hii imewekwa kwaajili ya kuwasaidia madereva.. na sio kuwakandamiza.. suala ni kwamba unatumiaje hayo masaa 12.. kwa hili la masaa ukitaka ufafanuzi ni chek

06. Kaka kama una vibali vyotee utanampa pesa ya nn..!? Kama unamakando kando.. bhass pesa itakutoka..

Faida zipo nying saana.. apart from tips.. bali unakutana na watu tofaut tofaut.. inapelekea kukutengenezea network.. suala ni kwamba customer service yako ipoje..!?

Mm nilianza kuendesha na uber kipind bonus zinakalibia kuisha.. na trust mi.. bado kidogo nichome moto chet changu.. maana niliona maisha ndio haya.. UBER kama UBER walikuwa wananiwekea 86,000. Kila week.. bado cash ninayokusanya.. ila maisha yalichange ghafla.. kwhyo hata hvyo sikuwaza saaana maana niljua ndiko tunaelekea huko..

Bro ww ni msomi.. kwhyo naamin unajua kuwa technology hairudi nyuma.. ucje kuwaza kuwa haya makampuni yatafilisika au kufungwa.. hlo sahau.. zaidi ya hapo ni kwamba yanakua.. sasa jukumu ni lako.. kukua nayo au kuachana nayo.. uzuri wa biashara za usafili ni kwamba the minute unamaliza kuisajili na chombo kinaingia road.. ndio minute unayoanza kutengeneza pesa.. acha kuwa na mawazo mepesi.. maana unaambia saving huanzia pesa ndogo ili baadae iwe kubwa.. na mafanikio hayaji kwa siku moja.. ila ni process inayotake time..

Ndio biashara ina changamoto.. lakn je ni ipi siyokuwa na hzo changamoto..!? Suala ni mipango kaka.. mm naongea hvyo coz nilikuwa huko.. nachojua kazi ni mbaya ukiwa nayo…
 
Tunajambo letu
IMG-20211202-WA0000.jpg
 
IST 1ltr ikiwa mpya kama hyo unayoagiza ww.. itasukuma mpka 15Km… na kama njin kwny Jum.. bhass ikishuka ni 12 Km.. na uber 12Km X 450 = 5400tsh apo una lita mbili.. na sijajumuisha muda utakaotumia.. maana UBER unalipwa interms of Time and Distance..

Kreti la soda moja linauzwa 10,000/- na linakuwa lina soda 24 ambazo bei elekezi ni 500 sasa 500X24 ni 12,000 yan faida ni buku mbili tuu.. sawa na soda nne.. apo hujatoa umeme ambao ni lazima.. na hujatoa pesa ya kodi..

Gunia la mchele la kilo 100 linauzwa 140,000 ambayo ww ukianza uza kwa kilo.., utauza 1,800 ambapo apo utatengeneza faida ya 400 kwa kila kilo.. na mwisho wa siku utakuwa na faida ya 40,000/- lakn je utauza kwa siku moja kilo 100 ili uione hyo faida..!? Na hapo hujatoa matumizi ya kila siku..

Tuje kwny kilimo.. ufuta kama ufuta.. ghalama za kuanzia kutnengeneza shamba mpka unavuna heka moja ni laki nane.. [talking through experience] uzuli wake ni kwamba unaiuzia serikali.. na heka moja ukiilima vzuri inatoa wastan wa kilo 1200. Apo ukiiuzia serikali.. mteja mkuu ni kwamba utauza kilo moja 1,400/- kwhyo utakuwa na 1,680,000/- ukitoa gharama zako unapata faida ya 880,000 ni pesa nzuri ila kumbuka kuwa hili zao unavuna baada ya miezi mitatu tuuu… yap ni miez michache.. but unalima kwa mwaka mara moja.. so gawanya kwa 12… unapata 73,333/- kwhyo kila mwez unakuwa umetengeneza hyo pesa.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwann nimekueleza hayo yote.. simply ni kwasasabu ya kukuonyesha kuwa biashara ndivyo ilivyo.. hutakiwi kuwaza kutengeneza alot of money kwa muda mchache.. huyo anayekwambia hvyo utashangaa ukimuuliza vzuri atakwambia madeleva tax mbona wanalipwa pesa nying.. ndio hatujakataaa wao wanalipwa pesa nying lakn je kwa siku anapakia wateja wangap..!? Na siku nyingine huwa hawapakii kabisaaaaa… hv unajua daladala kutoka mbezi mpka mbagala anatengeneza pesa ngap..!? Na je uber mbezi mpka mbagala ni pesa ngap..!?

Ngoja nijibu hoja za jamaa sasa
[emoji41][emoji41]

01. UBER na BOLT inakupa option ya kumpgia mteja.. na through communication utajua mteja yupo wap na anaelekea wap plus altitude yake.. ukiona hamuwezan kuna option ya kucancel.. au unamuacha acancel yey.. ww unamwambia tu.. “sikufuati”

02. Ndio kuna maeneo ukimpeleka mteja unarudi kapa.. lakn kupitia uzoefu wangu.. naomba niyataje maeone.. na tena mengi ni yale yaliyopo nje ya mti.. mfano.. bunju B.., Mbagala mpka chamanzi.., kigamboni.., Chanika.. sasa iko hv .. ukishaona abilia anaelekea huko.. unaweza mbeba au ukampotezea.. lakn.. narudia tena lakni.. ukimpakia wa bunju B ukimshusha.. huwez toka Bunju mpka Nyuki bila ya kipata abiria.. chanika sikushauli maana unaweza toka chanika mpka airport ukala bila bila.. mbagala toka sogea uhamiaji huwez kosa kichwa.. na vile vile sisi madereva tunatofautiana.. kuna wanaopenda trip ndefu na kuna sie wa posta kkoo tu.. kwhyo option ni yako.. kwnda au usiende.. na kuna wateja wngine waelewa ukiwaambia kistaarabu kuwa huko ntataabika.. wanakulipa double..

03. Muulize huyo dereva kama kisha wah endesha mkoa mwngne tofaut na Dar.. ndio atajua njia mbofu zipoje..[emoji23][emoji23] aache dharau.. Dar tumependelewa mnoooo… na kama njia sio rafiki ni communication kati ya dereva na Abiria.. unamwambia.. nakushisha apa chukua boda.. kama njia ni mbofu ina dimbwi au niyautelezi huwa wanaelewa.. tena wengne wanakwambia kabisa.. “nishushe hapa.. huko utaumiza gari”

04. Nakubali kabisa.. wateja hawawez tumia App.. ni kwl na ni changamoto kubwa.. ila ndio hvyo.. hata sisi madereva weng huwa hawajui kutumia app.. ndio maana kuna option ya kumpgia.. mm nilisha sema tofauti na masaki na Upanga.. kwngne kote.. kabla sijaanza safari ni lazma nipige simu..

05. Madereva wengi wamekuwa wakitupa magari mitalon kwa sababu ya usingizi.. mm pia nishawah pata ajali kwasababu ya usingizi.. driving fatigue its a disease my brother… niamin mm.. hii imewekwa kwaajili ya kuwasaidia madereva.. na sio kuwakandamiza.. suala ni kwamba unatumiaje hayo masaa 12.. kwa hili la masaa ukitaka ufafanuzi ni chek kupitia 0764202280.

06. Kaka kama una vibali vyotee utanampa pesa ya nn..!? Kama unamakando kando.. bhass pesa itakutoka..

Faida zipo nying saana.. apart from tips.. bali unakutana na watu tofaut tofaut.. inapelekea kukutengenezea network.. suala ni kwamba customer service yako ipoje..!?

Mm nilianza kuendesha na uber kipind bonus zinakalibia kuisha.. na trust mi.. bado kidogo nichome moto chet changu.. maana niliona maisha ndio haya.. UBER kama UBER walikuwa wananiwekea 86,000. Kila week.. bado cash ninayokusanya.. ila maisha yalichange ghafla.. kwhyo hata hvyo sikuwaza saaana maana niljua ndiko tunaelekea huko..

Bro ww ni msomi.. kwhyo naamin unajua kuwa technology hairudi nyuma.. ucje kuwaza kuwa haya makampuni yatafilisika au kufungwa.. hlo sahau.. zaidi ya hapo ni kwamba yanakua.. sasa jukumu ni lako.. kukua nayo au kuachana nayo.. uzuri wa biashara za usafili ni kwamba the minute unamaliza kuisajili na chombo kinaingia road.. ndio minute unayoanza kutengeneza pesa.. acha kuwa na mawazo mepesi.. maana unaambia saving huanzia pesa ndogo ili baadae iwe kubwa.. na mafanikio hayaji kwa siku moja.. ila ni process inayotake time..

Ndio biashara ina changamoto.. lakn je ni ipi siyokuwa na hzo changamoto..!? Suala ni mipango kaka.. mm naongea hvyo coz nilikuwa huko.. nachojua kazi ni mbaya ukiwa nayo…
Biashara nzuri kama unasimuliwa ingia uone.

#MaendeleoHayanaChama
 
HII BIASHARA HAILIPI (ili kulaza hiyo 70,000 kwa siku lazima uenyeke sana)

Nianze na UBER. Uber wanalipa kila kilomita sh. 450 na kila dakika sh. 80.

Tuchukulia kinadharia nimeamua ku “ request” Uber nikazunguka nayo masaa 12 na kutembea Dar kilomita 300.

Nakokotoa hesabu

Km 300 x shs. 450 = 135,000
Dakika 12x60x shs. 80 = 57,600

JUMLA NI 192,600

Kilomita 300 kwa Gari kama IST inatumia lita 33-37 inategemea na uendeshaji wa dereva

Tuchukulie lita 35x bei ya petrol sasa 2,123 = 74,305

UBER wanakata chao asilimia 25%
Kwa hiyo (25% x 192,600) - mafuta 74,305 = 70,145

Kwa hiyo dereva anabakiwa 70,145 kama gari ni yako, kama ana boss atoe hiyo t.shs 25,000 au 30,000.

Kuna malipo ya latra , insuarence, parking tickets(unaweza kuona ndogo lakini ziki accumulate ni nyingi.) Gari itahitaji service mara kwa mara maana inatembea km nyingi kwa siku

Uhalisia ni kwamba huwezi pata Request kila muda, kupata 70,000 kwa siku ni kazi kubwa sana

HASARA YA BIASHARA HII
1. Mteja aki “request” ukaenda kumchukua haulipwi kwa km ulizotembea kumfuata, malipo yanaanza pale tu mteja akiingia kwenye gari. Hiyo ni hasara kwa dereva.
2. Kuna maeneo mengi Dar ukimpeleka mteja unarudi kapa. Na hujui abiria unampeleka wapi mpaka aingie kwenye gari.
3. Dar njia nyingi ni mbovu ni kuichosha gari tu.
4. Wateja hawajui kutumia app vizuri, location alipo na alipo “pin” kwenye map ni vitu viwili tofauti. Unahangaika kumtafuta ukimuudhi ana cancel
5. App ya Uber ikikaa masaa 12 mfulizo inajizima, inakulazimisha upumzike angalau masaa 6 ndio inarudi
6. Traffic wameshaijua hii biashara usumbufu wao lazima uache “5,000”

FAIDA labda upate “tips” na kwa wageni, (wabongo hawatoi, wanalaalamika tu kwamba unaendesha taratibu ili hela iongozeke au uawapitisha kwenye foleni.) WABONGO BANA.

Kuna muda UBER wanatoa bonus au kuna mida hela inaongezeka kidogo kipindi kuanzia saa 9 alasiri au kama kuna demand kubwa ya gari

Wateja wakikuzoea wanakuwa wanakupigia simu direct, unakwepa 25% ya UBER

BOLT WANALIPA 400km na t.sh. 72 kwa dakika kama nakumbuka vizuri
Vipi ukifunga gas?
 
Back
Top Bottom