Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanapatikana wapi boss wanguNunua lolita kwa verified agent
Kwa upande wangu QFL magodoro dodoma yamenilea so !! Ni bora kwanguNahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu. Na je ni vitu ganu vya kuangalia wakat wa kuchagua godoro zuri.
Kitu cha kuangalia wakati wa kununua godoro imara ni density.Chukua lenye density kubwa.Ukichukua lenye density ndogo linakuja kubonyea katikati na hii haitajalisha kuwa umenunua la brand gani.
Kwanza nenda kwa dealer , ukinunua mtaani hawajui mambo ya density,Nitajuaje density ya godoro ?
Mkuu upo sahihi kabisa , density ndo kila kitu linapokuja swala la godoroKitu cha kuangalia wakati wa kununua godoro imara ni density.Chukua lenye density kubwa.Ukichukua lenye density ndogo linakuja kubonyea katikati na hii haitajalisha kuwa umenunua la brand gani.
Nitajuaje density ya godoro ?