Meshaki Richard
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 320
- 174
Godoro GSM likiwa limefika kwa mteja wetu mbezi mwisho
GSM inchi 8 5X6 kwa 180000 unaletewa bure mpaka ulipo
GSM inchi 8 5X6 kwa 180000 unaletewa bure mpaka ulipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe range ya density mkuuKitu cha kuangalia wakati wa kununua godoro imara ni density.Chukua lenye density kubwa.Ukichukua lenye density ndogo linakuja kubonyea katikati na hii haitajalisha kuwa umenunua la brand gani.
Tunayo karibuniChukua godoro la Dodoma halisi
Kibaha itawezekana kweli kufanya delivery ?Godoro GSM likiwa limefika kwa mteja wetu mbezi mwisho
GSM inchi 8 5X6 kwa 180000 unaletewa bure mpaka ulipoView attachment 2007003
Unaletewa boss hata jana lishaletwa hapo kwa kibaha kwa MathiasKibaha itawezekana kweli kufanya delivery ?
Utajuajelina density kubwa anu ndogo ? Au wanaandika kwenye godoroKitu cha kuangalia wakati wa kununua godoro imara ni density.Chukua lenye density kubwa.Ukichukua lenye density ndogo linakuja kubonyea katikati na hii haitajalisha kuwa umenunua la brand gani.
Lenye ufito wa vipMi mimeuza na kufanya biashara ya magodoro zaidi ya miaka 6
Ninua godoro LA QFL lile lenye ufito pembeni
Au nunua lile la foronya LA kuvua
Hilo ndio godoro nnalolitumia nimezalia hapo watoto wangu 4
Utakuja kunishukur baadar
GSM Magodoro ya WananchiNahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu.
Na je ni vitu gani vya kuangalia wakat wa kuchagua godoro zuri.
Kweli KabisaKamwe kamwe usinunue magodoro ya GSM langu naamka asubui limebonyea naenda had kazini narud halijarud juu
magodoro mazuri ni Comfy tena uende kiwandan kabisa utapata kwa bei nzuri na uhakika OGKamwe kamwe usinunue magodoro ya GSM langu naamka asubui limebonyea naenda had kazini narud halijarud juu
Aiseeeeeee ushauri wako umenifaa mimi nimenunua QFL la foronya ya kuvua na kuvesha lipo vizuri sana. MUNGU akubariki sana .Mi mimeuza na kufanya biashara ya magodoro zaidi ya miaka 6
Ninua godoro LA QFL lile lenye ufito pembeni
Au nunua lile la foronya LA kuvua
Hilo ndio godoro nnalolitumia nimezalia hapo watoto wangu 4
Utakuja kunishukur baadar