Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

Naomba ushauri juu ya hii biashara inayotaka niwe mwanachama kwa laki 5

Wewe ni zuzuuuu
alliance sio uongo Wala utapeli.... si sawa ukilinganisha na vitu vya hovyo kama Deci. alliance inakutaka uwe open minded positive ujiamini na kuamini biashara yako. tatizo watu wanapenda urahisi. hakuna biashara isiyohitaji muda wako... kujifunza. etc. mimi ni member wa alliance na Nimejifunza mengi tangu mwisho mwa mwaka 2018 nilipojiunga. msipotoshe kwenye ukweli. ndugu kama ulifunzwa vizuri ni kosa kubwa sana kuja kuwauliza watu ambao hawakuwepo ulipokuwa unaelekezwa. wewe ndiye uliye tambulishwa fursa ni jukumu lako(kama upo serious) kupata information kutoka right sources. kuna watu waliofanikiwa unaweza kuwasiliana nao uwasikie walifanikiwa vp. for more advice contact me ahmedzamea@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app

Scam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki 5 bora ukafanyie shughuli nyingine ya maana....

Ukiingia ni mwendo wa kuingiza watu watano, nao watano waingize watano, na kwenye hao watano kila mmoja nae alete watano watano ili upige pesa... Just imagine kwa usawa huu wa sasa nani atakubali kujiunga huko kwenye hiyo biashara mtandao na mbaya zaidi bidhaa zao za afya/dawa ni bei ghali sana
 
Biashara yenye asili ya scam inapewa leseni na serikali? upembuzi yakinifu wa hiyo biashara ulifanyika kabla ya kutoa leseni? wanaofisi (physical place)?, bidhaa zake zimesajiliwa TFDA?, pesa wanatoa kupitia NMB bank? TRA wanachukua kodi kwenye hiyo bidhaa?, serikali itatupa majibu maana sidhani nia ya serikali ni kuruhusu watu wake watapeliwe! serikali ya awamu hii iruhusu hayo mambo kweli? Mwenye majibu concrete kuhusu hiyo biashara alete majibu hapa!
 
alliance sio uongo Wala utapeli.... si sawa ukilinganisha na vitu vya hovyo kama Deci. alliance inakutaka uwe open minded positive ujiamini na kuamini biashara yako. tatizo watu wanapenda urahisi. hakuna biashara isiyohitaji muda wako... kujifunza. etc. mimi ni member wa alliance na Nimejifunza mengi tangu mwisho mwa mwaka 2018 nilipojiunga. msipotoshe kwenye ukweli. ndugu kama ulifunzwa vizuri ni kosa kubwa sana kuja kuwauliza watu ambao hawakuwepo ulipokuwa unaelekezwa. wewe ndiye uliye tambulishwa fursa ni jukumu lako(kama upo serious) kupata information kutoka right sources. kuna watu waliofanikiwa unaweza kuwasiliana nao uwasikie walifanikiwa vp. for more advice contact me ahmedzamea@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikubali kujiunga nipe huyo awe kwenye chain yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tupo kwenye Hali ngumu sana ya kifkraa[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]

Hivi unajisikiaje wewe Kama Mtanzania unahubri na kushabikia kuwa fursa flani Ni utapeli wakati watu wanaendelea kubadili maisha Yao kupitiatia hiyohiyo fursa? Tubadilikeni lasivyo tutaendelea kufa masikini na kuendelea kulialia shida tuu.. Naomba niende moja kwa moja kwenye kuchangia maada Kama ifuatavyo;

Binafsi huwa Ni mfuatiliaji Sana wa Mambo tofauti tofauti pia huwa napenda Sana kusoma vitabu na system za fursa mbalimbali na mpaka sasaiv ninauelewa wa system za fursa zaid ya fursa tano Kama Qnet, forever living, forex, Bitcoin, Alliance in motion global na n.k na fursa zote ninazijua vizri kiasi Cha kumuelezea mtu na akaelewa.

Lkn kwann nilichagua kujiunga na Alliance in motion global kuliko fursa hizo zingine??
Sababu;
Mm nilijiunga alliance SI kwa ajir ya muhemko wa kupata utajir wa mda mchache Bali nilijiunga ili kupata bidhaa zao kwa Bei nafuuu baada ya kuzifanyia utafit wa kina juu ya kukinga na kuponya magonjwa. Mjomba wangu alikuwa anasubuliwa na matatizo ya pressure na kisukuri miaka mitatu iliyopita na tulikuwa tushampeleka hospital kubwa kubwa hapa Nchini ili awe free from those diseases lkn ilishindikana zaidi ya kupewa tu dozi zisizokuwa na maana lkn baadae nilikutana na rafiki yangu akanishauri nijarb kutumia bidhaa za alliance (food supplements) nione Kama zinaweza zikamsaidia kwa vile lengo lilikuwa Ni mjomba kupona sikuwa mbishi Kama walivyo wabongo wengi niliulizia bidhaa wakaniambia Bei ya dozi Hadi yy kupona kabisa nikapiga mahesabu Nikaona kuliko kununu bidhaa mojamoja acha ninunue TU global package yenye bidhaa nyingi zitakazomusaidia kupona kabisa. Nilienda ofisi kuu yao pale Mikocheni nikanunu hiyo global package kwa 5k then nikaja kumpatia mgonjwa Amn usi Amn,ukatae usikatae ndani ya Mwezi mmoja kutumia bidhaa za alliance mjomba wangu hakuwa na kisukuri Wala presha Tena na Hadi Leo ninavyochat Hivi Hana Tena hayo matatizo na toka hapo ndo nikatokea kuipenda hii kampun na ndo nilipo Rudi ofisin kwa ajir ya Kupata elimu zaidi namna ya kufanya biashara za alliance. Baada ya kutoka hapo nilianza kuifanya alliance kwa mda wangu wa ziada bila kuathri shughuli zangu na namshkru mungu ndani ya mda mchache nimeweza kutengeneza pesa ya maana, kujenga na kusaidia jamii inayonizunguka ktk kutatua matatizo ya afya na Uchumi. Na mpaka sasaiv Kuna vijana wadogo Sana ninao waandaa kuja kuwa viongozi kwenye kampun la alliance hapo baadae . So ninapo sikia mtu akisema kuwa Hili kampun Ni utapeli huwa naishia kumuangalia na kumhurumia Hali ya kifkra aliyonayo kwasabab hata biblia inasema

Ewe kinywa Cha mpumbafu wapata wapi ujasiri wa kunena mbele ya kinywa Cha mwerevu?

Conclusion; Alliance ukiachana na hurka za pesa pia inalenga kukupatia na kuboresha Afya yako Kupitia bidhaa zao. Binafsi Am very interested with it's products then after pesa ndo inafuata so Leo nitatoa option ya kusaidia watu 3(open minded people) nitakaowapa elimu ya kiufundi zaidi kuhusu hii fursa na nawakaribisha Sana wotee wenye matatizo ya ki afya pia Kama watakuwepo nitatoa ofa ya punguzo la bidhaa lengo nikuisadia jamii

NOTE; leadership Are not force people to join on the journey but invite people on the journey so Kama utaendelea kuamn Ni utapeli is up to you Kama utakuwa positive thinker kwa ajili ya kupiga business au kusolve health problems your welcome via my Email vitusjjay@gmail.com or Whatsapp no 0656462843.

Ahsanteni Sana mleta uuzi Kupitia maada yako umenikumbusha kidogo changamoto za kuuguza nilizopitia kwa mda kitambo before kutumia bidhaa ya alliance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hiyo pesa ukanywe bia au ukaongee kunasiku utajipongeza kuwa haikupotea bure, ukishindwa saana katoe sadaka kanisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom