Ushauri wangu, nenda ktk tawi LA benki unayopokelea mshahara, watakufanyia ukokotozi. Huo mshahara wanabakiza theluthi moja, nyingine unawezakopea baada ya makato mengine yote. NMB wako vizuri kuliko CRDB na NBC. Wapelekee salary slip tu unapata maelezo yote