Habari wanajf! Naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience juu ya mikopo ya wafanyakazi kutoka kwenye mabenki yetu hapa nchini, ni benki gani inatoa mikopo mizuri (hela kubwa kidogo na riba nafuu) kwa mfanyakazi mwenye basic salary ya 520000 hiv, anaweza kupewa mkopo kiasi gani .Natanguliza shukrani