Naomba ushauri juu ya uchaguaji wa kozi na jinsi ya ku-apply TCU.

John porter

Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
65
Reaction score
28
Habari wanaJF.
Poleni na mihangaiko ya maisha, natanguliza shukran kwa kuchukua muda wako na kusoma uzi huu naomba msaada wa haya mambo mawili

1. Ni kozi ipi iko nzuri(marketable) na itanifaa kusoma kwa ufaulu huu
A) chet cha o'level
B) chet cha utunzaji kumbukumbu,
4.0 gpa
First class
C) Stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu
3.5 gpa
Upper second

2. Je na apply vipi TCU
 
Tafuta tcu guide book ingia hapa
www.tcu.ac.tz
ili kujua programe courses zipi zinazokufaa pia cutting point zake ila kwa nyie wa diploma gpa ni 2.7 minimum

utajisajili kupitia CAS (CENTRAL ADIMISSION SYSTEM) ambapo utatakiwa ukanunue vocha bank ya NBC tsh 50000/=
NB ; program course mwisho tano kujaza na chuo kimoja unaruhusiwa mwisho course mbili tuu

Angalizo chagua chuo kutokana pass zako na masomo yako uliyosoma
usije ukatemwa first round ...!
 
Ahsante mkuu Darius
 
Lakn kaka Darius kwa mwaka huu tcu bado hawajatoa lini tuanze kuomba kwa mwaka wa masomo 2014/2015 et au tayar zimeanza?

nasikia tayari washafungua mda wa maombi...!but waweza tembelea website yao kwa taarifa zaidi...!au Google tcu
 
mbona kila nikitembelea web ya tcu hamna jipya?,jaman tujuzane tusije tukachelewa
 
mbona kila nikitembelea web ya tcu hamna jipya?,jaman tujuzane tusije tukachelewa

mkuu irumba1 ile ya mwaka jana vipi?, nakumbuka tulikuwa wote mwaka jana kwenye kusubiri hizi post za tcu..............au HESLB walikuzingua? sisi wenzako ndo tunamaliza first year huku , all the best mkuu
 
Last edited by a moderator:

bwana mkubwa upo... oil sumu wapi
 
Last edited by a moderator:
mkuu irumba1 ile ya mwaka jana vipi?, nakumbuka tulikuwa wote mwaka jana kwenye kusubiri hizi post za tcu..............au HESLB walikuzingua? sisi wenzako ndo tunamaliza first year huku , all the best mkuu

mkuu mwaka jana nilipata st john Dar compus ila HESLB Wakanizingua na boss wangu kanitolea nje ila mwaka huu najaribu tena
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…