Shukrani kwa mchango wako! Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingiZipi sasa maana Rigs zipo nyingi za mchina zipo ndogo zinazovutwa na diesel engine pia zipo zinazokotwa na majenereta na zipo truck driven rigs.
Anaway angalizo ni kwamba mchina upate trusted suppliers ambao hata vipuri pia watakuuzia hao hao.
La pili ni kwamba utapata kwa bei chee na kama ilivyoada utatumia kwa muda mfupi rigs itakuwa haitamanimi ila hela itakurudishia. Mimi natumia vifaa vya mchina na naviagiza kwz iyo nakwambia kitu ninachokijua.
Utanunua bidhaa yao utapigia kazi ila usitarajia lifespan kubwa ya bidhaa u mashine zao japo zinalipa na zinasaidia. Wao wana sera ya kukuuzia kitu utumie kukurudishie hela kichoke ukanunue tena.
Shukrani kwa mchango wako!
Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingi
Shukrani kwa mchango wako!
Nauluzia zile ndogo. Lengo ni kupata kisima, takribani 100 m, ujasiriamali si dhumuni la msingi
Ubarikiwe sana ndg! Nimepata mwangaWacheki Sunmoy drilling rigs mkuu. Naamini mzigo huo utakufaa huwezo juta. Uchimbaji mdogo wa 100M deep inachimba hiyo na unafunga pump hata zile za kizamani za mkono.
Kwa faida ya wengi naomba utupe mrejesho kama ulifanikiwa kuchimba kisima kirefuUbarikiwe sana ndg! Nimepata mwanga
TunangojaKwa faida ya wengi naomba utupe mrejesho kama ulifanikiwa kuchimba kisima kirefu