Naomba ushauri kama kuna tiba ya kunusuru mimba kuharibika

Hapo mimba inatishia kutoka Kuna dawa nimeisahau jina ingekusaidia kidonge kimoja kinauzwa alfu 15 na unatakiwa ununue doz nzima but nahic umechelewa kama Damu zmeanza kutoka !
Naona hauna msaada...na hauna cha maana cha kumsahauri zaidi umemtia wasiwasi...ningekuwa mm ni ww nisingecomment chochote..
 
Asanten wapenzi wangu kwa kunitia moyo na ushauri mzuri mno, ila Jana nilijifungua kwa uchungu mkali mno huku nikijua akitoka hatokua na uhai ni pre mature bbygal she was pretty mno ila haikuwa ridhiki yangu naamini next time Mwenyezi Mungu atanipa mtoto wangu. Mungu awabariki sana
 
Pole sana mamy. Usiache kumuomba Mungu kwamaana yeye ni mtoaji wa vyote atakupa mtoto mwingine.
Pia kabla hujabeba ujauzito mwingine nikushauri uonane na daktari wa magonjwa ya wanawake kwa uchunguzi zaidi.
 
Pole sana ndugu yangu, Mungu atakupa mwingine
 
Daaah! Pole sana..
 
Anaweza kuwa na homonal imbalance inawatokea sana wanwake wa leo kutokana na lifestyle zao. Kama ni hivo atumie supliment za kubalance homoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…