Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Hiyo ni shule nimekupa ambayo ungekuwa na hekima ungenipongeza Kwa kukuelimisha .hivi mwanaume anaye tamani kusifiwa uzuri na mwanaume mwenzake wewe unamwonaje bora mwanaume usifiwe uzuri na mwanamke.Hizo trick aliziweza baba yako kwa mama yako, you are nothing to get my wife.
Hongera kwa kurithi mbinu za zamani za mshua wako.
Sasa wewe unadhani mm nimekuelimisha Kwa chuki la mm sina hata Gari ila niliona siyo vibaya nikupatie hekima Kwa kile unacho jisifia na kile unacho kidharau najua kiukweli kutoka moyoni mwako umejikosoa Kwa kiwango furani.