Hiyo ni shule nimekupa ambayo ungekuwa na hekima ungenipongeza Kwa kukuelimisha .hivi mwanaume anaye tamani kusifiwa uzuri na mwanaume mwenzake wewe unamwonaje bora mwanaume usifiwe uzuri na mwanamke.Hizo trick aliziweza baba yako kwa mama yako, you are nothing to get my wife.
Hongera kwa kurithi mbinu za zamani za mshua wako.
imbecileHiyo ni shule nimekupa ambayo ungekuwa na hekima ungenipongeza Kwa kukuelimisha .hivi mwanaume anaye tamani kusifiwa uzuri na mwanaume mwenzake wewe unamwonaje bora mwanaume usifiwe uzuri na mwanamke...
Upo sahihi mkuu.Mngekuwa majiniasi mngewaeshimu sana wanaume wenye hivyo vigari mnavyo vidharau
Lakini ni ukweli tu tunazungumza mkuu.upo sahihi mkuu..
Ukiona mtu huku jf anaponda magari ya watu mara la kike mara baby walker ujue huyo hana gari...na kama analo hajui uchungu wa kulinunua..unaweza kuta amenunuliwa na shemeji yake ili dada yake aumizwe vizuri kitandani...au mshua wake kafa then amerithi..
Daima huwa namuheshimu mtu kwa kile alichonacho ilimradi awe amekitolea jasho...
Bado nawaza hiki kigari sababu ya kuuzwa bei yote hii ni nini!!!!!!kama mwonekano chukua IST 2nd generation 1.5L nzuri kwa safar ulaji wa mafuta pia mzuri japo bei ipo juu
Bora hicho kuliko bei ya rush....rush iko juu sanaBado nawaza hiki kigari sababu ya kuuzwa bei yote hii ni nini!!!!!!
Rush probably zimeanza kutoka miaka ya hivi karibunibora hicho kuliko bei ya rush....rush iko juu sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Lakini ni ukweli tu tunazungumza mkuu.
Mbona katika simu huwa mnawapooonda team tecno,karma is around the corner.unamng'ong'a wa tecno na kuna mtu mmekaa naye hapo akitafakari unatoshaje ktk vits na mwili wote huo!!!!!!bora le super mbebez anakaa katika Noah,ujue Noah ni kubwa sana mle ndani,kiasi unaweza ingiza simtank.
Hahaaaa mkuu ni kutafakari tu,sijakurenga wewe.
kwanzia 2006 ila bei dhuuRush probably zimeanza kutoka miaka ya hivi karibuni
Mimi nadhani ni kwa sababu ni toleo jipya, mwonekano halafu labda kuna advancement za technology!Bado nawaza hiki kigari sababu ya kuuzwa bei yote hii ni nini!!!!!!
Hii ni balsa aisee!bora hicho kuliko bei ya rush....rush iko juu sana
2006 8.5 M kwa ZanzibarCarina Ti kwasasa ni bei gani showroom?
Shukrani @ Kikale2006 8.5 M kwa Zanzibar
Hivi mkuu unapoagiza gari toka Japan katika hizi km ni KM ngapi inakuwa bado ipo makini yaani minimum na maximum it means zisizidi KM kiasi fulani japo najua kuna uchezeaji wa odometer kwa wenzetu.AhsantehThey are all almost the same