Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

Ivi unamaanisha gari hiii

Wasikudanganye hawa
Hii gari wakati wake ushapita. Bora ata IST...
Gari nzuri sana hio mkuu! Haina magonjwa kabisa. Sema mbaya ni kwamba wewe huipendi na kwa outdated nakubali! Hio gari ni zile za EFi style ila IST iko VVT-i
 
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
MAREKEBISHO:: IST si gari bali mkokoteni wenye injini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…