Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IST 1.3L used kwa mtu Basi.
Utanishukuru baadae.
Hiyo 1.3L ni kitu gani mkuu embu chikicha kidogo
Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumiaGari ya milioni 10 halafu ya juu?[emoji15] ...unamaanisha nini
Msaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kdgo,pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi.
Hizi hizi saloon car?Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia
Asantekamata probox safiiiii
Vigari vidogo vidogo vya bei hiyo vingi vinakua chini. Labda ununue Suzuki Swift, kiko juu kidogo japo delicate. IST imekaa vizuri, ila kama ni rough road saana, haifai kavile.Namaanisha gari ilonyanyuka kulingana na barabara nayotumia
Mkuu njoo nikupe IST itakufaa sanaMsaada nataka kununua gari isiyozidi 10m,ila gari ambayo inatumia mafuta kdgo,pia iko juu kwani barabara yangu ya kila siku ni rafu na iko vibaya sana mawe mingi.