Naomba ushauri kilimo cha alizeti na mahindi

New HIZ O

Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
40
Reaction score
65
Mimi ni mkulima ninashamba la heka 20 kipi nilime kati ya mahindi na alizet ila ardhi yake ni kichaga
 
Si kila udongo wa kichanga ni mbaya. Kuna Kichanga chenye mchanganyiko na tifu tifu,mchanganyiko na mfinyanzi n.k Ni vema uende na Afisa kilimo shambani ili aone live!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…