uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Mbogamboga ila angalia kwanza soko lake likoje huko Ruvu
njoo pm tuzungumzeMazao yapo mengi.unaweza hata kulima mahindi ya kuchoma ukavuna mabichi.
by the way.na mimi natafuta shamba kiasi kama hicho pembeni ya mto ruvu nifanye irrigation.naweza pata wapi shamba?
Kwani ukiandika na wengine wakafaidika kuna tatizo ganinjoo pm tuzungumze
lima tiktik best ingawa na mm si mzoefu sana ila hilo huchukua muda mfupi angalau kwa miezi miwili au zaidiHabari wakuu.naomba ushauri,ninazo heka mbili pembeni ya mto Ruvu.nilime zao gani la kumwagilia.ambalo halichukuu muda mwingi kuvuna.pia kama kuna mtu atapenda tuunge pamoja nguvu anakaribishwa.maana ndo Mara ya kwanza kulima kwenye ardhi ya Ruvu.wazoefu naomba a, b,c
Okey asante Mkuu .ntafanyia kazilima tiktik best ingawa na mm si mzoefu sana ila hilo huchukua muda mfupi angalau kwa miezi miwili au zaidi
Kusambaza namba yangu public hivi ngumu kidogo Mkuu.labda nikuelekeze namna ya kufika pmmie siyo mwenyeji sana na matumizi ya pm.kwa kifupi sijui namna ya kufanya.je waweza nipa namba yako hapa nikupigie?
lima matango au mahindi mafupi, pilipili hoho au tikiti
Ingelikuwa kila mtu akianzisha uzi, mnaitana PM jamii forum ungekuta ishakufa siku nyingi.njoo pm tuzungumze
Fuga kitimoto hutajutaHabari wakuu.naomba ushauri,ninazo heka mbili pembeni ya mto Ruvu.nilime zao gani la kumwagilia.ambalo halichukuu muda mwingi kuvuna.pia kama kuna mtu atapenda tuunge pamoja nguvu anakaribishwa.maana ndo Mara ya kwanza kulima kwenye ardhi ya Ruvu.wazoefu naomba a, b,c