uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Habari wakuu.naomba ushauri,ninazo heka mbili pembeni ya mto Ruvu.nilime zao gani la kumwagilia.Ambalo halichukuu muda mwingi kuvuna, pia kama kuna mtu atapenda tuunge pamoja nguvu anakaribishwa.maana ndo Mara ya kwanza kulima kwenye ardhi ya Ruvu.wazoefu naomba a, b,c