Shaban kisimba
New Member
- May 12, 2022
- 2
- 1
Habar naimani wote wazima,
Binafsi n mwanafunz wa mwaka watatu naelekea kuhitimu masomo yangu ya degree ya Kwanza, Ninaa malengo makubwa na kilimo cha miti hususan MITIKI nimejarbu kufatilia maeneo yanayopandwa sana mfno Korogwe na maeneo ya Morogoro.
Nimesoma expectation za cost na mauzo ambapo makala mbali mbali zinasema hekali Moja unapanda miti 400 maximum na kila mti after 15 to 20 years zaweza kupa laki 8 mbk million Kwa mti ambapo utapata kama mil 370+ hivi..
NAOMBA USHAUrI lakin pia naomba mwongozo hususani kupata mashamba, garama za awali"muhmu", mbegu Bora, na muhmu Zaid binadamu kusaidiana naomba kiongozi au mentor ambae anauelewa kunizidi mm, wanasema usimuombe mtu pesa, muombe ujuzi na maarifa.
NB: MITIKI nataka kulima Kwa ajili ya future watoto sana sana I'm 24 years nakalibisha ushauri wataalamu