Naomba ushauri kisheria!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Nilikua employed kwenye company ya private as salesman for a year,mwanzon mwa mwaka huu dereva wangu akafanya kosa lilipelekea kufukuzwa kazi mm na yeye ila kwenye barua za kazi kosa likasemekana ni mimi kutokuwepo eneo la kazi ambacho si kweli ndicho kimesababisha upotevu wa mizigo kwenye gari.
Baada ya kesi kugeuzwa na wote kufukuzwa dereva amefungua kesi mahakaman na kampuni imtakiwa ipeleke ushahidi wao sasa wameshindwa jinsi ya kunifuata na kesi imetajwa leo nimejulishwa wameomba kitu kama cjakosea kinaitwa summerns(ruksa kunirekebisha cnaufahamu nacho)ambayo nimejulishwa wataniletea ni saini ambayo itanitaka kufika mahakaman kueleza jinsi gani upotevu ulitokea niwe shahidi wa kampuni kuonyesha uovu wa dereva.ctaki kufanya hivyo sababu walinifukuza kwa kunionea na kesi wakageuza waliemtoa kwenye kosa ambae ndiye mtendaj wakatufukuza pamoja ikiwa barua zinaonyesha mm ndie mzembe mpaka mizigo ikapotea kwenye gari na si kwamba hiyo mizigo iliibiwa!
Sitaki kwenda kutolea ushahidi kampuni iliyonifanyia unyama,je natakiwa nifanyaje nikifuatwa ku sign hiyo karatasi!?
 
Kugoma kuitwa mahakaman ni kosa tena la jinai, unaweza fungwa! we nenda halafu kajib unachokijua!
 
wewe kwnn hukujumuika na mwenzako kufungua kesi?lzma ufike ufike mahakamani na utoe ushahdi wa ukweli sababu ukidanganya utakuwa matatizon
 
Sasa kwan shahidi analazimishwa aise!maana hapo itakua kama nalazimishwa kutolea kampuni ushahidi ambayo ilinitoa mimi kazn!angalien na upande wa pili tena wameniondoa kwa kunionea na aliyenionea ndio huyo anataka niende mahakaman
 
shahid anaweza kulazimishwa kufika mahakaman na ni jinai kukataa wito wa mahakama...nenda mahakaman na eleza hicho ulichoeleza hapa kua ndio unachokijua, usiseme tu uongo.
 
unaweza kuwa hostile witness ukifika mahakaman ushahidi wako unakuwa huitetei kampuni, jitetee mwenyewe
 
shahid anaweza kulazimishwa kufika mahakaman na ni jinai kukataa wito wa mahakama...nenda mahakaman na eleza hicho ulichoeleza hapa kua ndio unachokijua, usiseme tu uongo.

sasa nikieleza ukwel jamaa atashindwa kesi na pia mimi kwanza nitaonekana mbaya pili nitakua nimeisaidia kampuni ambayo imenifukuza kazi kwa kosa walilonibambikia mimi wakalitoa kwa dereva ambapo baada na yeye kumfukuza ndio kawapeleka mahakaman sasa!
So nikisema ukwel labda na mimi nifungue kesi yangu sasa unaona hapo palivyo pagumu maana ni kati ya rafiki zangu na kampuni ambayo hainisaidii,kama ni wewe ungefanyaje nawaelewa mkinitaka niende ila je kama huon nitavunja uhusiano na rafiki zangu!!??
 
unaweza kuwa hostile witness ukifika mahakaman ushahidi wako unakuwa huitetei kampuni, jitetee mwenyewe

hapo kidogo umenipa njia ya kujitetea mimi kwamba cyajui makosa ya jamaa ila mimi kama mimi nilipata adhabu yangu
 
hapo kidogo umenipa njia ya kujitetea mimi kwamba cyajui makosa ya jamaa ila mimi kama mimi nilipata adhabu yangu

Sijajua kwa nini wewe hujawa joined kwenye kesi ya huyo rafiki yako au wewe umeridhika na kufukuzwa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…