the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Nilikua employed kwenye company ya private as salesman for a year,mwanzon mwa mwaka huu dereva wangu akafanya kosa lilipelekea kufukuzwa kazi mm na yeye ila kwenye barua za kazi kosa likasemekana ni mimi kutokuwepo eneo la kazi ambacho si kweli ndicho kimesababisha upotevu wa mizigo kwenye gari.
Baada ya kesi kugeuzwa na wote kufukuzwa dereva amefungua kesi mahakaman na kampuni imtakiwa ipeleke ushahidi wao sasa wameshindwa jinsi ya kunifuata na kesi imetajwa leo nimejulishwa wameomba kitu kama cjakosea kinaitwa summerns(ruksa kunirekebisha cnaufahamu nacho)ambayo nimejulishwa wataniletea ni saini ambayo itanitaka kufika mahakaman kueleza jinsi gani upotevu ulitokea niwe shahidi wa kampuni kuonyesha uovu wa dereva.ctaki kufanya hivyo sababu walinifukuza kwa kunionea na kesi wakageuza waliemtoa kwenye kosa ambae ndiye mtendaj wakatufukuza pamoja ikiwa barua zinaonyesha mm ndie mzembe mpaka mizigo ikapotea kwenye gari na si kwamba hiyo mizigo iliibiwa!
Sitaki kwenda kutolea ushahidi kampuni iliyonifanyia unyama,je natakiwa nifanyaje nikifuatwa ku sign hiyo karatasi!?