Naomba ushauri kitalu cha Pilipili hoho

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisumbuka mnooo miaka nenda miaka ila sasa nimepatia
Ni hivi kama sio mtaalam lazima ununue udogo ktk maduka ya dawa za mifugo.wanauza udongo mimi nilinunua udongo wa sh 4000.nikanunua na mbegu zangu za hoho nikapanda huwez amini ndani ya siku 5 tu zikaanza kuota bado zipo kitaluni.sasa juz nilitumia hoho za njano na nyekundu nazo zimeanza kuota ndan ya siku tatu tu .so shida kwako sio mbegu ni udongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante nilishafanya hili na hakika nimefanikisha, shukran jazeera.
 
~Kwanza andaa kitalu sehemu yenye kivuli √

~Chukua udongo wako ukaange kwenye moto then acha upoe √

~Chukua samadi au mboji changanya na udongo halafu kuwa unamwagilia kama wiki 2 au 3 kabla ya kupanda√

~Utakapo sia mbegu kwenye kitalu usizifukie sana zitaweza shindwa kuchipua zikaozea kwenye udongo√

~Ukimaliza bakiza mbegu kidogo ili zisipoota ukawashitaki waliokuuzia mbegu kwamba ni feki√

Ukipata changamoto dm ipo wazi [emoji120]


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Why ununue udongo wakati unaweza kuutengeneza mwenyewe ni simple tu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Unapatikana wapi mkuu? Kwa ukanda wa pwan huu udongo napata?
 
Mbinu za kivita
 
Nitajaribu na hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…