Pocket door imekaaje babaInawezekana, vifaa nenda Kariakoo kama upo Dar...
Kitachoshindikana ni kama huo mlango utataka uwe 'pocket door', hii haitawezekana kwa sababu ujenzi wetu ni wa kutumia matofali...
Pocket door imekaaje baba
ahsante sana kakaNi aina ya mlango unaofunguka kwa kuslide, kutumbukia na kujificha ndani ya ukuta (pande mbili za ukuta)...
Ni maarufu kwa nyumba za wazungu sababu nyingi zake huwa zimeundwa kwa mbao...
Kwa Tanzania ni ngumu sababu kuta zetu ni za tofali, huwezi kuacha uchochoro ambao utaufanya mlango uzame ndani wakati wa kuufungua...
albab
View attachment 2172404
Picha iko wapi?Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti.
YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani inasave space, lakini inatoa kero ya kufunga na kufungua.
Katika mawazo yangu ni kwamba kuwe na handle tu utakayoitumia kuusukuma mlango lakini pia nawaza namna ya kuweka komeo/lock au kitasa na kuwa unafungika.
Je, wazo langu linaweza kufanyiwa kazi na kama ndiyo, vifaa ntavipata wapi??
Nawasilisha
Kumbe bado kuna mambo mengi siyafahamu😅Ni aina ya mlango unaofunguka kwa kuslide, kutumbukia na kujificha ndani ya ukuta (pande mbili za ukuta)...
Ni maarufu kwa nyumba za wazungu sababu nyingi zake huwa zimeundwa kwa mbao...
Kwa Tanzania ni ngumu sababu kuta zetu ni za tofali, huwezi kuacha uchochoro ambao utaufanya mlango uzame ndani wakati wa kuufungua...
albab
View attachment 2172404
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti.
YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani inasave space, lakini inatoa kero ya kufunga na kufungua.
Katika mawazo yangu ni kwamba kuwe na handle tu utakayoitumia kuusukuma mlango lakini pia nawaza namna ya kuweka komeo/lock au kitasa na kuwa unafungika.
Je, wazo langu linaweza kufanyiwa kazi na kama ndiyo, vifaa ntavipata wapi??
Nawasilisha
Watu8 kaelezea kuhusu pocket doors ambayo kwetu ni ngumu...
JE uttoh2002 hiki kwenye picha kinashindikana???
View attachment 2172533