albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,198
- 2,562
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa namna ninavyoweza kuifanya baadhi ya milango ya ndani (ya mbao) isifunguke bali iwe ya kuslide tu mfano wa geti.
YouTube nikakuta kwa wenzetu wanaitumia sana kwani inasave space, lakini inatoa kero ya kufunga na kufungua.
Katika mawazo yangu ni kwamba kuwe na handle tu utakayoitumia kuusukuma mlango lakini pia nawaza namna ya kuweka komeo/lock au kitasa na kuwa unafungika.
Je, wazo langu linaweza kufanyiwa kazi na kama ndiyo, vifaa ntavipata wapi??
Nawasilisha