Naomba Ushauri Kuhusu ajira Tazara

Naomba Ushauri Kuhusu ajira Tazara

justin mabula

New Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Naombeni Ushahuri, Nina mdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili cheti kilichotumika ni cha Form 4 na gharama za masomo na kila kitu inaweza fikia 5M

Je, Ndugu zangu kwa mnavyoiyona Shirika la Tazara Inalipa kweli?

Kutoa gharama zote hizo ukizingatia yeye ana degree ya Uhasibu au Anaenda kupoteza muda tena?
 
Back
Top Bottom