kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 324
- 170
Bati ya ALAF na dragon, ipi bora, na ni ipi ambayo haipauki? Kama kuna anayejua kampunii nyingine, naomba ushauri. Na bei zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah aingie moja kwa moja kiwandani atapata bei nzuri pia, hii ya kutafuta urahisi kwa kutumia madalali ndio wanaishia kulizwa na mabati feki au gharama kubwa kupita kawaida.Na kama alaf uende kiwandani kabisa sio kwa wake makanjanja walioko nije ya kiwanda ambao anakuona hata umesimama unataka kuongea na simu wanakukimbilia hao ni makanjanja wa mjini 2 zama ndani ya kiwanda kabisa ila hata sunshade nasikia nao wapo vizur
Pia asidanganyike na kofia, misumari na usafiri wa bure kwani hizo ndo mbinu wanazotumia kupata wateja si unajua wa TZ wanavyopenda slope pia hata haya maduka ya vifaa vya ujenzi nao ni makanjanja 2 ingawa sio wote.yeah aingie moja kwa moja kiwandani atapata bei nzuri pia, hii ya kutafuta urahisi kwa kutumia madalali ndio wanaishia kulizwa na mabati feki au gharama kubwa kupita kawaida
Mimi niko vwawa Mbozi mkoa wa Songwe hakuna kiwanda nitafanyaje mkuu.yeah aingie moja kwa moja kiwandani atapata bei nzuri pia, hii ya kutafuta urahisi kwa kutumia madalali ndio wanaishia kulizwa na mabati feki au gharama kubwa kupita kawaida
Kabisa mkuu, kwanza kofia anaweza kutengeneza mwenyewe kwa kununua sheet za bati za kawaida tu kisha fundi anaenda kumkatia kofia, bati moja la shilingi 30000 unaweza kutoa mpaka kofia 3 wakati kofia moja wao wanaweza kukuuzia shilingi 22000, misumari pia kama ni ya rangi anaweza kuagiza kilo chache kwanza ikipelea atarudi kuongeza haina gharama kuliko kuagiza misumari mingi mwisho ikabakia akapata hasara. kuhusu usafiri asijali ilimradi amechukua kitu bora kwa bei halisi ya kiwandani. Otherwise slope inaumiza.Pia asidanganyike na kofia,misumari na usafiri wa bure kwani hizo ndo mbinu wanazotumia kupata wateja si unajua wa TZ wanavyopenda slope pia hata haya maduka ya vifaa vya ujenzi nao ni makanjanja 2 ingawa sio wote.
Inawezekana mkuu lakini watu wanapendekeza ALAF maana hayajawahi kuangusha mtu, kama kuna kampuni mbadala ya ALAF basi ni vizuri washindani waongezeke wateja tupate unafuu wa bei. lakini inabidi tuwape muda hao mbadala wa ALAF tujiridhishe na ubora wao.Kila mtu amekariri Alaf na Dragon kama jins watu wengi wanavyoamini kampuni ya Tronic ndio inavifaa bora pekee vya umeme,,,,
Tusikariri vitu,, kuna kampuni mpya ya bati inaitwa POLARIS iko poa kinoma na unachukua mzigo kiwandani pia bei iko vizuri sana, bati imara sana aiseee
Kwenye TRONIC napigilia msumari hapo, hakuna kampuni ya vifaa vya umeme iliyo bora kama Tronic. Kama ipo nitajie.Kila mtu amekariri Alaf na Dragon kama jins watu wengi wanavyoamini kampuni ya Tronic ndio inavifaa bora pekee vya umeme
Tusikariri vitu,, kuna kampuni mpya ya bati inaitwa POLARIS iko poa kinoma na unachukua mzigo kiwandani pia bei iko vizuri sana, bati imara sana aiseee
Jitahidi ufike hapo stendi ya Mwanjelwa Mbeya mkuu.Mimi niko vwawa mbozi mkoa wa songwe hakuna kiwanda nitafanyaje mkuu.
Nunua bati za GSM...Bati ya ALAF na dragon, ipi bora, na ni ipi ambayo haipauki? Kama kuna anayejua kampunii nyingine, naomba ushauri. Na bei zake
Unaposema kuna mbadala lazima uje na mbadala unaozidi kiwango cha ile bidhaa ya mwanzo. Siyo unasema kuna nzuri kama TRONIC alafu kumbe hata haijaifikia wala kuizidi tronic.Kwenye TRONIC napigilia msumari hapo, hakuna kampuni ya vifaa vya umeme iliyo bora kama tronic. Kama ipo nitajie
Unataka kuliza watu wewe si bureNunua bati za GSM...
Apo ndipo mnapoibiwa, mnauziwa vifaa vya umeme vinapigwa lebo ya Tronic basi mnaweka imani kuwa ndio super, Copy ni nyingi saiz.Kwenye TRONIC napigilia msumari hapo, hakuna kampuni ya vifaa vya umeme iliyo bora kama tronic. Kama ipo nitajie
Kwahiyo tusinunue kwakua ina label ya Tronic kuhofia ni kopi?Apo ndipo mnapoibiwa,,, mnauziwa vifaa vya umeme vinapigwa lebo ya Tronic basi mnaweka imani kuwa ndio super,,, Copy ni nyingi saiz..
Watu kama nyinyi tunawahitaji sana mjini.Huna akili, so tusinunue kwakua ina label ya Tronic kuhofia ni kopi?
ewe stick na midosho, mimi nastick na Tronic
Mbona mie nimemtumia GSM zipo powa!!Unataka kuliza watu wewe si bure
SHORTCUT IS WRONG CUTkabisa mkuu, kwanza kofia anaweza kutengeneza mwenyewe kwa kununua sheet za bati za kawaida tu kisha fundi anaenda kumkatia kofia, bati moja la shilingi 30000 unaweza kutoa mpaka kofia 3 wakati kofia moja wao wanaweza kukuuzia shilingi 22000, misumari pia kama ni ya rangi anaweza kuagiza kilo chache kwanza ikipelea atarudi kuongeza haina gharama kuliko kuagiza misumari mingi mwisho ikabakia akapata hasara. kuhusu usafiri asijali ilimradi amechukua kitu bora kwa bei halisi ya kiwandani. Otherwise slope inaumiza
Haujakatazwa kutumia mkuu ila ni dhambi kubwa kufananisha bati za ALAF na hizo takataka za GSM zilizopakwa rangi.Mbona mie nimemtumia GSM zipo powa!!