Naomba ushauri kuhusu biashara itakayonifaa kati ya hizi

mamsapu

Senior Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
111
Reaction score
25
Habari wanajamii wenzangu. Niko hapa kuwaomba ushauri wa kina kuhusu hizi biashara nilizo zifikiria kuzifanya.

1) kuuza nguo za kike na bithaa nyingine za nguo na vitambaa kutoka asia.

2) kuuza vyombo vya jikoni kutoka nje hasa asia.

3) kuuza matofali na pavements na bidhaa zinginezo kama grilling nk.

Nawakilisha wadau kwenu. Mchango wenu nitaupokea kwa mikono miwili. Hata kama kuna idea zingine zaidi ya hizi niko tayari kuzipokea.

Asanteni
 
Nikweli naunga mkono hoja ya jiwe angavu biashara nibora uangalie hitajio la wateja wako au biashara inayotembea sehem husika
 
Binafsi mimi naona hiyo ya tatu ndo biashara ya uhakika., na long term business haina msimu ukitegemea sasa hivi kuna mwamko mkubwa sana kwenye sector ya ujenzi, kuanzia makazi na hata majengo ya ya biashara,

Changamoto kwa nionavyo mimi,
1. Jitahid kupata ardhi yako mwenyewe si ya kupangisha jitahid iwe karibu na barabara na iwe ni makazi mapya,

2. Chimba maji yako mwenyewe as hiyo biashara inahitaji supply ya uhakika ya maji,
3. Umeme uwe karibu,

4. Andaa mtaji kwa ajili ya vifaa vingine vilivyobaki kama mixer, vibrator vibao, cement na accesories nyingine ndogondogo kutegemea na mahitaji,

Ni biashara ambayo naamini haitokuangusha ila pia inahitaji muda kugrow kutegemea na marketing strategy yako ila ukifata niliyokushauri hakuna hasara, sijawahi kusikia matofali yameshuka bei sababu ya supply kuwa kubwa sokoni, ila nishawah kusikia nguo zimeshuka bei sana kwa sababu fasheni flani imepitwa na wakat,

Kama utakuwa upo vizur weka na hardware, tafuta mafundi grill as nondo zitatoka kwako, alluminium as well, kama una nguvu zaidi weka na mbao, baadae mambo yakiwa mazuri nunua mashine za mbao randa kabisa,

Baadae mambo yakiwa mazur kabisa fukuzia tender jengea watu nyumba uza, ingia kwenye deals kubwa za ujenzi,

Dooooh mambo ni mengi sana ila yanahitaji stages kwa kila kimoja huwezi kuanza na vyote nimekufungua macho tu kuona ni jinsi gani idea yako ilivyo kubwa na real, mambo ya maduka ya nguo, viatu inawezekana ni business nzuri ila kwa upande wangu siwezi kukuelezea uzuri na ubaya wake,

Mwisho kauze tofali paving grill rudi hapa tupe mrejesho does it work or doesnt
 
Thanks mkuu.
 
Good idea
 
Back
Top Bottom