Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
NiuzieWakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Time nunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya na deni la kulipa bado ni kubwa. Zimefanikiwa kulipa nusu ya deni lote. Tufanyeje wakuu?. Wenye uzoef biashara hii mnaifanyaje?
Hii biashara Kuna kikundi cha vijana wenzangu wamepata mkopo Kwa proposal. Sasa suala lipo kwenye utaalam wa kuendesha biashara hii.Biashara za vyombo vya usafiri huwa ni pasua kichwa. Hii ili upate faida mara nyingi wewe ndio uwe dereva au uwe makini sana kwenye usimamizi....
Hapana mkuu Bajaji hazijalipa deniNiuzie
Nipe experience mkuu Kwa maana nimeitwa nikiokoe Chama hiki.Umewapa vijana if yes hesabu Maumivu
Hizo bajaji upo Dar?Nipe experience mkuu Kwa mana nimeitwa nikiokoe Chama hiki.
Bajaji matengenezo ya laki 2 mkuu. Hatuwezi kumuachia derevaSalamu Ndugu, Naomba kuuliza Hizo bajaji zote ni za kwako? Je kama umewapa vijana, mkataba unasema Je katika issue nzima ya matengenezo/ukarabati wa Bajaji?
Asante.
DSM mkuuUpo mkoa gani
Ndio mkuuHizo bajaji upo dar?
Bajaji ni za hesabu au mkatabaTuanzie hapa mkuu
MkatabaBajaj ni za hesabu au mkataba
Hesabu huwa inakuja baada ya muda ganMkataba
Mkuu ur the outside watcher?Hii biashara Kuna kikundi cha vijana wenzangu wamepata mkopo Kwa proposal. Sasa suala lipo kwenye utaalam wa kuendesha biashara hii. Toka nimerudi hapa wamenisimulia na nimeona niwasaidie kutafuta wadau Kwa mana hawatoboi kulipa deni. Hesabu zimeshuka na Bajaji 3 zote ziko chaka, moja ndo I Epona Leo na nyingine ilipo a wiki iliyopita. Wamefanikiwa kununua pikipiki mbili ndo zinasidia kulipa marejesho. Wanatakiwa kulipa mil 2 kila mwezi.
Tafuteni vijiwe vizuri hiyo mil2 mtalipa zileteni kariakoo hizo bajaji. Zifanye Kazi kwa mfumo wa Uber Barabara nzuri naamini zitadumu na hela mtapataNdio mkuu
Kwa mpango wa mkataba umekufa Kwa Hali iliyopo. Bajaji Kuna siku hazikufanya kazi na mpaka Sasa mkataba umevunjika. Mkataba ulikuwa miaka 2 kila siku elf 20. Bajaj sas zinaleta hesabu ya elf 15 na Hali mbaya. Zimechoka kammaa uji na matengenezo kila wikiHesabu huwa inakuja baada ya muda gan