INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Nakupm KakaMie naona tunawalaumu vijana pasipo kuwa na misimamo na kazi yako hizo bajaj ziache njia ya mbagala ila Jenna misimamo na kazi yako vijana wanatakiwa wewe ndo uwaongoze jinsi gani unataka kazi yako if anyone tofauti na hvyo kazi imemshinda
Okay ukimaliza kikao hakikisha mnatafuta watu sahihiSawa bajaji zimenunuliwa mpya Kaka hela za mkopo manispaa
Kweli mkuuMie naona tunawalaumu vijana pasipo kuwa na misimamo na kazi yako hizo bajaj ziache njia ya mbagala ila Jenna misimamo na kazi yako vijana wanatakiwa wewe ndo uwaongoze jinsi gani unataka kazi yako if anyone tofauti na hvyo kazi imemshinda
Bila usimamizi madhubuti ni tatizo maana kwa madereva wasio waaminifu wanakubambikia matengenezo feki, wengine hata wanabadilisha vipuri n.kBajaji matengenezo ya laki 2 mkuu. Hatuwez kumuachia fdereva
Anhaaa okMkataba
Ukisema madhubuti unamaanisha nini? Madhubuti inakuaje?. Hawa jamaa bajaji wamempa Mfanyakazi mmoja kama Mfanyakazi mkuu asimamie wenzie. Bajaji zinalala mbande wenye kikundi hawakai mbandeBila usimamizi madhubuti ni tatizo maana kwa madereva wasio waaminifu wanakubambikia matengenezo feki, wengine hata wanabadilisha vipuri n.k
Mkuu zikija kariakoo nije na model gani ya kusimamia hiiKweli mkuu
Mkuu nakuja je hapo. Hebu nisaidie Kaka. Nimenasa hoja ya kwanza hawa jamaa mm nimeona a nao Leo. Wanyang'anywe hizi bajaji sio watu sahihiVijana wameua kwa maksudi kabisaa,, yani bajaji ununue mpya, ndani ya mwaka hazitamaniki??? Mmhhhh au barabara mbovu,,huko kuna barabara nyingi za vumbi.... Njoo upige kazi..zakhem darlive pale kwenda kkoo.. fasta unapata pesa mzuri.
Bajaj hizi kadi zipo manispaa mpaka deni liishe. Zimenunuliwa Kwa mkopo wa proposal ya kikundi.Pole mkuu, mi nilifumania pesa mwezi wa tatu nikapata bajaji marejesho 20k, nakumbuka pesa ilirejeshwa kwa siku 15 pekee baada ya hapo ikawa marejesho 15k kwa tabu sana.ikabidi Niiuze baada ya kuona mambo yanaenda kufeli, Nikatafuta mwanasheria nikaingia mfukoni akaandika mkataba wa pikipiki, nikaanza na pikipiki 2 mwezi wa sita mwaka huu, sina masihala kabisa na kazi yangu. Mpaka sasa napikipiki nne na mkataba unafuatwa, mkataba unaotambulisha kazi ya boda kama kazi zingine rasmi. Ukicheka na nyani...., ushauri wangu uza hizo bajaji hata mbili baada ya kuwa umezikarabati, then nunua boda afu tafuta vijana wape mkataba halafu JIZIME DATA
Kwa mfano, bajaj imeharibika halafu imepelekwa gereji, je huyo msimamizi ambaye naye ni dereva wa bajaj nyingine, ambaye naye anapaswa awaletee hesabu, sasa atafanya lipi hapo?! Atasimamia bajaj nyingine itengenezwe vema ama ataendesha yake apate hesabu?!Ukisema madhubuti unamaanisha nini? Madhubuti inakuaje?. Hawa jamaa bajaji wamempa Mfanyakazi mmoja kama Mfanyakazi mkuu asimamie wenzie. Bajaji zinalala mbande wenye kikundi hawakai mbande
Mbande
Bajaji ikiharibika anakuja kusimamia itengenezwe ni huyu mwenye kiti wa kikundi. Sasa hivi ndo tumetoa gereji kumalizia bajaji ya pili na mwenye kiti.Kwa mfano, bajaj imeharibika halafu imepelekwa gereji, je huyo msimamizi ambaye naye ni dereva wa bajaj nyingine, ambaye naye anapaswa awaletee hesabu, sasa atafanya lipi hapo?! Atasimamia bajaj nyingine itengenezwe vema ama ataendesha yake apate hesabu?!
Mkuu mwaka tu bajaji imekuwa kama soksi? Mm siamini katika hili mbona wengine wanafany hii biasharaMbande.! Ile barabara lazima zichoke mbaya, kwenda msongola huko ndio balaa.
Uendashaji mbaya. Chombo chochote ili kidumu ni lazima kitunzwe.Mkuu mwaka tu bajaji imekuwa kama soksi? Mm siamini katika hili mbona wengine wanafany hii biashara