Bila shaka kuna mahali panavuja, mimi naona ukinunua used ndio huwa zinasumbua service. Lakini mpya atleast 2years zikiwa barabarani ndio matengenezo ya gharama huanzaMkuu mwaka tu bajaji imekuwa kama soksi? Mm siamini katika hili mbona wengine wanafany hii biashara
Naliandika hili Kaka. Kuna mtu alisema tuzipeleke kariakoo. Lakin shauri tuliloafikiana pale ni bora tukomae na kule kule Kwa mana pale zilipo bajaj zinakwepwa Kwa sabb sio tvsKwa bajaji mpya kama dereva mzuri, Barbara ya lami kila service maximum 35,000@kwa kila bajaji. Na hii inafanyika kila baada ya siku 14 (once in 2weeks).
Yan hizi nimepewa samari ndan ya miez 6 ngoma ikaanza kuwa ngumu. Kuna watu mpaka leo Wana majarida kituo cha polisi wanadaiwa.Bila shaka kuna mahali panavuja, mimi naona ukinunua used ndio huwa zinasumbua service. Lakini mpya atleast 2years zikiwa barabarani ndio matengenezo ya gharama huanza
Mimi ninayo moja na inamwaka na miezi miwili sasa lakini matengenezo makubwa niliyofanya yaligharima 50,000 niliwepa lakini mara kwa mara huwa yanachezea 28,00 hadi 34,000 kwa kila siku 14. Na vitu vya kurekebisha mara nyingi huwa ni grease,oil, plug, rubber bushyani mkuu vijana mda mwingine hatuna exposures
Kwa Dar sjajua soko lipoje, huku mikoani abiria hawachagui brand, wanapanda yoyote itakayokuwa mbele yao. Na hizo brand zingine mimi sjawahi Miliki mi nipo n TVSNaliandika hili Kaka. Kuna mtu alisema tuzipeleke kariakoo. Lakin shauri tuliloafikiana pale ni bora tukomae na kule kule Kwa mana pale zilipo bajaj zinakwepwa Kwa sabb sio tvs
Shida madereva wanadai kama sio tvs sijui ni Kama gari manualKwa Dar sjajua soko lipoje, huku mikoani abiria hawachagui brand, wanapanda yoyote itakayokuwa mbele yao. Na hizo brand zingine mimi sjawahi Miliki mi nipo n TVS
Mkuu kuna kipande cha barabara kutoka mbande kwenda msongola ambacho ni kibovu sana juzi nimepita hapo yaani hapafai kwa bajaji. Sasa kama wako huko lazima watapata changamoto bajaji kuharibika hataka.Vijana wameua kwa maksudi kabisaa,, yani bajaji ununue mpya, ndani ya mwaka hazitamaniki??? Mmhhhh au barabara mbovu,,huko kuna barabara nyingi za vumbi.... Njoo upige kazi..zakhem darlive pale kwenda kkoo.. fasta unapata pesa mzuri.
Kwa mpango wa mkataba umekufa Kwa Hali iliyopo. Bajaji Kuna siku hazikufanya kazi na mpaka Sasa mkataba umevunjika. Mkataba ulikuwa miaka 2 kila siku elf 20.bajaj sas zinaleta hesabu ya elf 15 na Hali mbaya. Zimechoka kammaa uji na matengenezo kila wiki
Hizi pesa za mikopo ya halmashauri kwa nini zinakuwa na urasimu sana?Kikao cha dharura hapa mwisho kimefamywa na mm nlikuwepo hizi hela za mikopo ya vijana. Nimecheka Sana hesabu zao hawa jamaa. Mm nataka nifanye kitu genuine kwanza wamalize mkataba tuziuze tugawane hela
Urasim upo kokote mkuu. Sisi tumeupata sabb hatuna vyetu! Hali mtaani ni mbaya toka tugraduetHizi pesa za mikopo ya halmashauri kwa nini zinakuwa na urasimu sana?
Wilaya gani mmepata maana kuna watu wanapambania hili suala ila kuna changamoto za urasimu wanapataUrasim upo kokote mkuu. Sisi tumeupata sabb hatuna vyetu! Hali mtaani ni mbaya toka tugraduet
Sema na watu Kaka. Wilaya yoyote uliyopo unapata hizo hela zinatolewa.Wilaya gani mmepata maana kuna watu wanapambania hili suala ila kuna changamoto za urasimu wanapata
Naomba namba Kaka tuwasilianeNipo geita soon narud dar ila biashara kubwa niloipanga kufanya ni ya bajaj coz naijua vizur
Kama hutojali naomba tuwasiliane tupeane ushauri kdgo
Kaka kwa hapa Dar mlianza hatua zipi?Sema na watu Kaka. Wilaya yoyote uliyopo unapata hizo hela zinatolewa.
Kaka kwa hapa Dar mlianza hatua zipi?Sema na watu Kaka. Wilaya yoyote uliyopo unapata hizo hela zinatolewa.
Mwenye kufahamu mtu wa kunidhamini bajaji naomba niweze fanyia kaziKaka kwa hapa Dar mlianza hatua zipi?
Na kama hutojali naweza pata namba yako tusaidiane nahitaji kufahamu namba yangu ni 0674074563
Hao walikuwa wanafanya kazi masaa 24 au anafanya jion anampa mtu wa dayworkerHizo Ngoma Kama mliwapa vijana Maana yake zilikuwa hazipumziki so wameziua maksudi kwa tamaa zao.
Wewe dogo boda boda upo?Urasim upo kokote mkuu. Sisi tumeupata sabb hatuna vyetu! Hali mtaani ni mbaya toka tugraduet
Nipo mkuu Lete maneno. NGO yako inaendeleaje hapo gobaWewe dogo boda boda upo?