Naomba ushauri kuhusu biashara ya Barbershop (Kinyozi)

Naomba ushauri kuhusu biashara ya Barbershop (Kinyozi)

Habarini wanajamvi,

Mimi ni kijana ambae nimeingia kwenye biashara ya Barbershop (haijakamilisha mwezi lakini inaniumiza kichwa) biashara ipo Mbeya.

Naombeni ushauri jinsi ya kusimamia ili niweze kupata faida kubwa, kuziba mianya ya janja janja, huduma gani za kitofauti za kutoa ili kuvutia wateja na namna ya kufanya makadirio kwa siku.

Nawasilisha, asanteni
Bila shaka hiyo ni saluni na sio barbershop .
 
Back
Top Bottom