Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Nilikuwa natafuta taarifa kuhusu forever living products na GLD. Lakini hata hivyo,sijaelewa zaidi. Nimepata na taarifa kutoka kampuni ya Amezcua au QNET wale watengenezaji wa bio disc. Wao wanasema FLP na GLD sio wazuri katika kufikisha malengo ya mgavi. Qnet wanasema wao ni makini kwa sababu:
1. Unanunua bidhaa zao mara moja tu unakuwa member kamili-tofauti na GLD na FLP ununue kila mwezi.
2. FLP na GNLD ulipaji wao wa kamisheni ni kila mwisho wa mwezi.Qnet ni kila wiki unaingiziwa.
3.FLP na GNLD unakuwa chinga kuzunguka kuuza bidhaa.Qnet huzunguki kuuza bidhaa ila unaongea na watu wanunue mzigo online
4.FLP na GNLD usiponunua bidhaa unashushwa cheo.
Niko njia panda nashindwa kufanya maamuzi maana sijawahi. Kwa mlio wahi au mnaojua,wapi ni sahihi?
Wenu, Benokolongokonongose