Naomba Ushauri Kuhusu Biashara ya Forever Living Products na GLD

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
52
Nilikuwa natafuta taarifa kuhusu forever living products na GLD. Lakini hata hivyo,sijaelewa zaidi. Nimepata na taarifa kutoka kampuni ya Amezcua au QNET wale watengenezaji wa bio disc. Wao wanasema FLP na GLD sio wazuri katika kufikisha malengo ya mgavi. Qnet wanasema wao ni makini kwa sababu:

1. Unanunua bidhaa zao mara moja tu unakuwa member kamili-tofauti na GLD na FLP ununue kila mwezi.

2. FLP na GNLD ulipaji wao wa kamisheni ni kila mwisho wa mwezi.Qnet ni kila wiki unaingiziwa.

3.FLP na GNLD unakuwa chinga kuzunguka kuuza bidhaa.Qnet huzunguki kuuza bidhaa ila unaongea na watu wanunue mzigo online

4.FLP na GNLD usiponunua bidhaa unashushwa cheo.

Niko njia panda nashindwa kufanya maamuzi maana sijawahi. Kwa mlio wahi au mnaojua,wapi ni sahihi?

Wenu, Benokolongokonongose
 
Jamani, sipendi kuwakatisha tamaa ila hizo biashara zooote mnazozifanya zitawapotezea muda tena sana tu. Mpaka ukaja kuyaona matokeo mazuri, utakuwa umetoa jasho la kutosha. Hasa ukizingatia kwamba wa chini yako ndio wanaoweza kukuangusha usifike mbali. Watanzania (E.Africa) wengi bado wapo lelemama sana kwenye ishu ya kuwa serious na business na hapo ndipo lilipo tatizo! Nimefanya zote hizo tena kwa nguvu zangu zote na kuitisha semina mara kwa mara bila kupata matokeo mazuri (sababu ya walio chini kuniangusha).

Leo naleta wazo jipya na zuri lenye biashara kama hiyo. Sema yenyewe ni kwa njia ya internet tu! Na huitaji kupoteza hela na wala hakuna atakayekuuliza hela. Malipo yake utalipwa moja kwa moja na utakuwa ukiona maongezeko alisia kwa macho yako. Ila kama hujui kiingereza, haitokuwa ni rahisi kwako kufikia malipo(inahitaji uelewa) kwani baada ya wewe kuelewa na ukifikisha points fulani, unapanda cheo na utapewa watu siyo chini ya 28 ili uwasaidie kuwaelewesha na kuwajibia maswali vichwani mwao.

Ki ufupi ni kwamba inalipa sana tu. Mimi nimeanza kulipwa tayari, kipindi hata sijamaliza week mbili. Yaani sasa naona matunda yake.

Nimeeleza kwa ufupi sana. Ila kama unadhani upo tayari kustarehe huku unahesabu hela zako, bila kuungua jua kwenda kusaka watu wa kujiunga, click link hii na ujaze form, ujiunge: Real Internet Income

Na kila mwenye swali, maoni au lolote lile. Huwa nipo online masaa yote na ntawasaidia kadri ya uwezo wangu. Niwaelekeze nilivyoweza kufikia nilipo. Asanteni:israel:
 
mbna hyo link haifunguki....naomba uni pm hyo link
 
Nimeingia kwny hyo link vp khs namna ya kupokea malipo yako?
 
Guys, im seriously want to share with you this powerful idea. I call his a very simple way to get you monthly commission only by spending your time like the way you do with facebook and other social medias. The difference is that you are dealing with the same time to read and understand the business strategies on how to get money.

Of course you will be paid according to your understanding and efforts. The more you collect points, the more you move to next level of monthly commission

So hakikisha unaelewa tu. Kwa wale waliowahi kufanya kati ya biashara hizo kwenye kichwa cha habari cha mada hii, wakiingia kwenye hii niisemayo watagundua kuwa ni kama maji vile. Yani we kazi yako ni kustarehe tu kwenye computer yako huku unapitia tasks zako na kushuhudia mapato yako yakiongezaka. ILA KIKUBWA NI KUELEWA NA SI KUKUSANYA POINTS TU!

Hii kitu inalipa saaaana kama upo serious. Fanya kama uwezavyo kufanya ukiwa facebook na mitandao mingine, halafu utaniambia mwenyewe. Nawasubi sana kule karibuni ntawasaidia kuelewa zaidi.

Click hapa:
Real Internet Income kujiunga.
 
Back
Top Bottom