Anthony Kabeho
Member
- Apr 12, 2018
- 71
- 33
Heshima kwenu wakuu nimekaa na kujaribu kuwaza hivi nikichukua mzigo wa Kandambili sample nimeweka hapo chini nikaenda kuuza kenya.
Maana kwa pair huku zinapatikana kwa 1500 nadhani nikivuka border naweza kuuza hadi 1800- 2000 kwa pair.
Changamoto yangu Sina wenyeji Kenya Wala sijawahi kuvuka border kwenda huko mawazo yangu mwenye connection na wafanyabiashara wa huko Kenya anaweza nisaidia. Napokea ushauri, maoni na kukosolewa asanteni Sana.
Heshima Sana kwenu wanajamvi.